Jirani zetu nao bado wapo wapo!

cha ajabu ni kwamba nchi jirani kama Rwanda, Burundi na pengine Uganda sina uhakika walimu wengi wanofundisha Lugha ya kiswahili ni Wakenya. je watanzania wenye Lugha sanifu tumeikalia hata kukosa walimu wa kiswahili nchi za nje? Nilikutana na mwalimu mmoja mjerumani kasoma kiswahili Tanzania na kiswahili chake sio kizuri lakini nafundisha lugha ya kiswahili kwenye chuo kimoja cha elimu Kigali.
 
huko ndo kiswahili ilienda kugonjwa, ikaenda kukufia kucongoni.

huwa inachekesha jinsi wanavyojisikia intimidated kuongea kiswahili mbele za mtz, wanahangaika hadi unawaonea huruma. hasa wakiwa nje ya nchi, wanajifanya wao ni waswahiliiiii, mbongo ukitokea tu, wanaaibika hadi wanafurahisha.
 
Ahaaaa!
Hao tuna wajua ni ma-expert in northing. Nyie waacheni tu wakija africa mashariki jumuiya nini na nini tunadai Kiswahili kwanza. No swahili no service. Patamu hapo lazima tuchapane.......!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom