Jirani yangu kambamba live mume wake na beki 2

Beki 2 ndo nani?
Hivi Housegirl si ni mwanamke kama wanawake wengine? KWa nini uandike Baki na kwa nini baadhi ya wachangiaji mnachangia kama vile housegirl ni mtu asiyestahili kuchangamshwa damu??

The issue here ni kwa mbaba huyo kutoka nje ya ndoa yake, wghether ametoka akaenda kwa housegirl au mke wa jirani,,,,,,,,,,, ni mwanamke asiye mkewe.

Mhhhh...Mjukuu...yaani siamini macho yangu kwamba kumbe kuna watu wanaweza kuwatetea beki 3? Tumezoea baada ya songombingo kama hii wanafanyiwa kila aina ya mateso na kurudishwa kwao wengine wakiwa vilema!

Umenikumbusha jamaa aliyesema kuwa hata kama ni beki3, "dudu yake haipigi deki"!!

• Thanks
Reactions: Mbu
Afanyeje? ila jamani kwani tofauti ya house girl na mama mwenye nyumba ni nini? kwani huyu house girl angewahi kuoelewa na yeye cheo cha house girl si angempa/kumuachia mtu mwingine.
la kushangza usije ukashangaa baba mwenye nyumba akiulizwa kwani ulifanya hivyo akajibu ni hamu!mama kila siku kaninunia,chakula,maji ya kuoga,nguo nafuliwa na Lady Mwajuma,kwenye TV tuko na kina Mwajuma nimejisikia vibaya kutompa shukurani na mimi nikajituliza-ahaaaaaahaahaaaaa,uzuri wa house girl hana gharama na anamheshimu mama mwenye nyumba kuliko vicheche vya Brake point!

M a m a a m e l a l a
B a b a a n a k u l a.

Nimewachikia chana mnavotupa Lawa kwa njemba na house girl. Mwenye makosa ni mama mwenye nyumba. Inaonesha kajisahau sana kutimiza wajibu wake kwa mume na kwa familia(malezi na mafunzo kwa house girl kama mtoto wake wa kumzaa). Inaonesha ni mnyanyasaji,rum kwa beck3 alienda kutafuta nini huyu mama?

Lakini jamani hapa nimeshindwa ku-comment kabisa maana mimi ni Mkware lakini duh huyu Jamaa kanizidi kama mimi nina degree yeye ni prof kabisa, maana afadhali mama ange ambiwa kuwa alifanya lakini usiku ana mwacha hapa kindani anaenda kwa beki3, nadhani huyu jamaa atakuwa mwana jeshi ndio wana roho ngumu hivi.

Ila sasa hapo sijui inakuwaje, hivi jamani labda kuna wakati ya mama inakosa ladha wale waliooa watusaidie kama kuna wakati ya mama inakosa ladha kabisa.

majitu mengine bana silui yakoje. unaacha sato chumbani kwako unaenda kula sato chumba kingine,tena kwa woga na mashaka. kama sio ujinga sijui nini sasa?

Nilivyotathmini mchezo mzima inaonyesha, hizo mechi za kirafiki na beki 2 zilikuwa za mara kwa mara, ukizingatia beki 2 huyo kaumbika yani mzigo upo!! Nafikiri hiyo ndiyo ilimchanganya sana baba mwenye nyumba.

Beki 2 ndo nani?
Hivi Housegirl si ni mwanamke kama wanawake wengine? KWa nini uandike Baki na kwa nini baadhi ya wachangiaji mnachangia kama vile housegirl ni mtu asiyestahili kuchangamshwa damu??

The issue here ni kwa mbaba huyo kutoka nje ya ndoa yake, wghether ametoka akaenda kwa housegirl au mke wa jirani,,,,,,,,,,, ni mwanamke asiye mkewe.

Kuna majina ya msimu au ya utani ambayo huwa yanakubalika katika jamii, kikubwa jamii iwe na uwezo wa kutambua hilo jina! wakati mwingine tunawaita wachezaji wa hakiba!!!!!!!!!!

Kwa ufupi ni kwamba huyo baba ni mpumbavu sana!

Ina maana alishindwa kuvumilia hata ikafika asubuhi mama akaenda kazini?

Hata akipigwa red card, hiyo adhabu haitamtosha!

Mi natofautiana na wewe babu kabisaaa.

Huyo baba sio mpumbavu tatizo lipo kwa mwanamke.

Mwanamke huyo ameisha utamu anashindwa kulinew ili mmewe atulie tuli nae.

House girl nae hana kosa si alitongozwa kibaya kama jamaa amebaka

Lakini jamani hapa nimeshindwa ku-comment kabisa maana mimi ni Mkware lakini duh huyu Jamaa kanizidi kama mimi nina degree yeye ni prof kabisa, maana afadhali mama ange ambiwa kuwa alifanya lakini usiku ana mwacha hapa kindani anaenda kwa beki3, nadhani huyu jamaa atakuwa mwana jeshi ndio wana roho ngumu hivi.

Ila sasa hapo sijui inakuwaje, hivi jamani labda kuna wakati ya mama inakosa ladha wale waliooa watusaidie kama kuna wakati ya mama inakosa ladha kabisa.

Maamuzi magumu sio lazima yawe kwa wanasiasa hata vyumbani. Ukomandoo kwa kwenda mbele

House girl hawezi kulaumiwa. Hiyo ni kesi ya sexual harassment live sababu Baba mwenye nyumba ni boss wa housegirl na alitumia position yake kumpata house girl. Katika mazingira ya kawaida labda house girl angekataa ila kukataa kwake hapo kungefanya apoteze kazi. Kwa hiyo moja kwa moja namcondemn baba na kama itawezekana housegirl apeleke kesi mahakamani baba afungwe miaka 20!

Hata kama ya mama imeisha utamu ndio uzame kwa hg? Mie akifanya hivo hata simuuliizi namsubiria tu atajuta badae.sababu hiyo imezidi kabisa, kwa nn wasipange wakutane huko mtaani mpaka wamvizie mama kalala?

Sasa kama haridhiki si aseme kuliko kuamua kufanya hivo tena ndani humohumo? Kwanini nyie wababa wabinafsi hivi?kwani mnavoona wake zenu wamenyamaza ndio mnadhani mnawaridhisha?kuna wanawake wengi tu wameolewa ila mkiongelea kufika kilele hawajui kibo wala mawenzi na bado wametulia tuli hoping that one day mambo yatakuwa poa.acheni roho mbaya hii ni kama uuaji coz ule mstuko unaweza pata shinikizo
Mwenye kosa hapo ni mama mwenye nyumba!!!!! Ni kwanini alikuwa hamridhishi mumewe mpaka awe na vishawishi vya kummendea housegirl? Inawezekana kabisa huyo mama amemuachia house gril afanye kila kitu kwa mume wake yeye akidai amechoka (Mtindo wa wadada walio wengi siku hizi). Mume akirudi, HG ndiye anakwenda kumfungulia mlango na kumpokea mkoba, ndiye anapika chakula na kumkaribisha Baba mezani, ndiye anafua hata chupi za baba, ndiye anamwambia baba mboga imesha na kumkumbusha baba asishau kununua mchele n.k.

Pamoja na hayo, ni akili mbovu kwa mwanaume kumuacha mkeo chumbani na kwenda chumba kingine kufanya ngono. Kwa nini hakufanya different arrangements? (Usiniulize which different arrangements please!!!!)

Tiba

hilo ni kosa kubwa wanalofanya kina mama,
or mara mwanaume gani huchoki,
or mara kila siku,
or mimi nimechoka
so ukipata mtu anayetumika to the maximum kwanini usipone!!!
nadhani mchizi hajafanya fair lakini ni msukumo wa sababu kama hizo!!

Duh huyu baba hajiheshimu (mtoto wa ziwa la tatu huyu)...ila wababa wengi (wasiofundishwa-sio woote) hawayakubali mabadiliko (maumbile) ya wake zao...afu akina mama nao ni wazembe ktk kuwachunguza hawa b3, unakuta huyu b3 ana ideal sign na baba kitu ambacho mama hana (mivutano/kunyimana kila uchao)...tena kutokana na unene mama huyu kampa huyo b3 nguo zake (za usichana wake)...na huyu b3 apitapita nazo mbele ya baba mroho..ajali ya kisiasa yaweza tukia.

Kuna jamaa kaumbwa vizuri na ana uwezo mkubwa kitandani-bahati mbaya/nzuri akampata mke/dada ambaye hakuzoea mizigo mizito,jamaa akitoka kazini akianza shughuli saa 2 ni mpaka asub hakuna kulala,lakini alikuwa anasema anaogopa maradhi kwa hy ni bora ashughulike na mkewe tu,lakini baada ya muda dada shughuli ilimzidia akaamua kumwomba mmewe atafute msaidizi,jamaa akapata binti wa kiarabu lkn dada wa kiarabu aliweza ku abosrb mzigo wote,mpaka tunapozungumza kuna case kubwa dada anadai taraka kwa sababu jamaa pamoja kupata msaidizi hata hy kazi ndogo iliyobaki dada hawezi kuivumilia. Ni bora kuachika ukabaki na uhai!:first:

Afanyeje? ila jamani kwani tofauti ya house girl na mama mwenye nyumba ni nini? kwani huyu house girl angewahi kuoelewa na yeye cheo cha house girl si angempa/kumuachia mtu mwingine.
la kushangza usije ukashangaa baba mwenye nyumba akiulizwa kwani ulifanya hivyo akajibu ni hamu!mama kila siku kaninunia,chakula,maji ya kuoga,nguo nafuliwa na Lady Mwajuma,kwenye TV tuko na kina Mwajuma nimejisikia vibaya kutompa shukurani na mimi nikajituliza-ahaaaaaahaahaaaaa,uzuri wa house girl hana gharama na anamheshimu mama mwenye nyumba kuliko vicheche vya Brake point!

Kama kwa umri wako huwezi kutofautisha mfanyakazi wa ndani na mkeo ujue wewe una mtindio wa ubongo. kama umeoa hukufundwa na kama bado hujaoa fanya mpango ufute huo usemi kabla haujaja kwa njia tofauti, lazima mkeo afanye uzinzi na houseboy wako na kashfa hiyo huna tofauti na houseboy itakuja.

Pole sana

Similar Discussions

Back
Top Bottom