Jirani yako akiwa mngoni, chunga mkeo.

Makubwa!

Jirani zangu wote walionizunguka ni wangoni!

Mume wangu akipata hii thread, nina hakika ameanza kutafuta nyumba nyingine hapa tuhame!
 
These are stories passed up from historical lineage!...Nimeishi na wangoni wengi sana, na ni watu wa kawaida na wanaheshimika sana..Dont tell me huenda ilikuwa vice-versa!
mkeo ashamegwa
 
naskia moja ya sifa za wangoni kwa wanaume ni kufumaniwa. Kama hujawahi kushikwa unyago unaonekana huna maana na mzembe! Hivyo mi naona hatari ya jirani wa kingoni ni kama mkeo nae mngoni, hata uweke ulinzi shirikishi haisaidii coz wanajuana!!

hapo kwenye nyekundu sidhani kama ulimaanisha kusema hivyo, otherwise ni ugoni
 
ha ha ha haaaaaaaaaa >>>>>>>>>>> serious mchiz hajakosea kuna mskaji ana itwa ngonyani duuu kachakachua wake za watu mpaka basi chini ya kapeti naskia ana mfukuzia mke wangu ndiyo na jianada na ulinzi shirikishi>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>.
 
hivi inatakiwa utembee na wanawake/ wasichana wangapi ili uqualify kuwa kicheche?
 
hivi inatakiwa utembee na wanawake/ wasichana wangapi ili uqualify kuwa kicheche?
Tatizo sio idadi tatizo ni muda, kama una idadi ya 30 ndani ya miaka 30 bado hujaqualify lakini ikiwa kwa mwezi unatimiza 5 hapo unaanza kuingia kwenye kundi la vicheche. Na ukiwa na tabia ya kuchakachua wake za watu hata ikiwa kwa idadi ndogo wewe ni kicheche.
 
Fanya utafiti mwenyewe utatuletea data hapa yaani hawa wakunyumba wanatisha!

huna kazi ya kufanya ndo uanze kutafiti haya? .....okh! ukishatafiti then wot next? c umbea tu! nadhani wewe
ni mpiga chabo mzuri sana....
 
Tatizo sio idadi tatizo ni muda, kama una idadi ya 30 ndani ya miaka 30 bado hujaqualify lakini ikiwa kwa mwezi unatimiza 5 hapo unaanza kuingia kwenye kundi la vicheche. Na ukiwa na tabia ya kuchakachua wake za watu hata ikiwa kwa idadi ndogo wewe ni kicheche.

there u are, gazeti, inamaana wanaofanya hivyo ni wangoni tu?
 
huna kazi ya kufanya ndo uanze kutafiti haya? .....okh! ukishatafiti then wot next? c umbea tu! nadhani wewe
ni mpiga chabo mzuri sana....
Ebwana we unatoka NAMTUMBO nini?
 
Aaah! wapi tena ukioa mngoni mwenzenu ndo kabisa anazungumzia dirishani tu! utasikia "NENE NIKUGANILI KWEI!" Vicheko vinaanza mambo yameiva.

hahaaaaaa kaka umefanya siku yangu iwe nzuri nimecheka kweli kweli
 
Ni kama utani vile lakini naamini siku moja utakuja kuthibitisha maneno yangu kama utapata jirani ambaye ni mngoni. Jamaa wanatisha kwa kuchakachua wake za watu, Kama huwajui ukipata jirani mwenye jina la mnyama au linalofanana na mnyama anza kuwa na mashaka, Ukisikia Mapunda, Ngonyani, Tembo, Matembo anza kutafuta mbinu za ulinzi shirikishi kwa mkeo, yaani Wangoni ni balaaa!

am not believing into your thought.
inategemea tu na uwezo wa mtu wa kupiga show na si ukabila, jitume kijana kwa mkeo acha kuhofia watu.:mod:
 
Sasa mkuu kwa wale wanaokaa songea maeneo kama bomba mbili kila kona wangoni inakuwaje?
 
am not believing into your thought.
inategemea tu na uwezo wa mtu wa kupiga show na si ukabila, jitume kijana kwa mkeo acha kuhofia watu.:mod:
Dah! hiyo AVATAR inanikumbusha walipokuwa wanahama kutoka South Afrika kuja Tanzania. Tatizo kwa kule Ungonini kuchukua mke wa mtu ni kama kwa watu fulani ilivyokuwa heshima kwao kutunza busha.
 
Sasa mkuu kwa wale wanaokaa songea maeneo kama bomba mbili kila kona wangoni inakuwaje?

Ni kama vile tunazungumza hatari ya vita halafu ukasema wewe unaishi Somalia, Libya, Iraq n.k
 
Aisifiae mvua imemnyeshea msibishe.
Ne wa Kulitui, ng'oliwako aikoleke ni nkesai?
Wanawake huwa wanatufuate wanasema tunajua kukaza wakilegea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom