Jipe moyo Kafulila; Hongera NCCR-Mageuzi, Godbless Lema

GL unaposema kuwa masharti ya DC ili kupata misaada nikukosa utu hapo nimekuona kumbe na wewe utu huna.
Unapinga watu kufunga ndoa ya jinsia moja wakati wao huo ndo utu wao. Chama chenu kinaubili Demokrasia,je kuna Demokrasia bila kueshimu haki za binadam and minority rights? Hapa ndo tunasema wanasiasa wengi ni wanafiki zaidi kama wewe GL.

unataka kusema nini Alexism?
 
Pasco this is my honest feedback to you. You have had good reputation kwenye matundiko yako but this time around naona sijui nini kimekukumba. Naheshimu misimamo yako hata pale inapopingana na matarajio ya wengi. Ila leo kwenye bandiko lako la kwanza, sijaona ni nn umeandika na sijataka kuamini waweza express chuki wazi wazi vile. Nadhani unahitaji kujirekebisha bro. Take it from me, nadhani unajitambua na nafasi yako kwenye jamii.

Asipo rudi nitabadili misimamo yangu fulani fulani
 
Lema,kwa mtu mwenye akili timamu,kwa ufupi ni kwamba unashabikia ujinga wa NCCR na kufukuzwa kwa kafulila,umesahau gharama kubwa anayoenda kulikumba taifa kufanya tena uchaguzi.lakini pia umesahau hoja ya msingi ya wanachama wa NCCR akiwemo kafulila ya kumpinga mwenyekiti wao MBATIA ambaye ni kibaraka.kwa maelezo yako hapa umejichanganya na huwezi kueleweka kirahisi maadili unayosimamia wewe ni ni yepi.tuseme unasisitiza heshima ya woga?huoni kwamba kuna haja ya kuheshimu mawazo ya wale wanaokupinga na ukawasikiliza?

kwa recod yako tangu wana arusha tumekupa ubunge hatuoni cha maana ulichotufanyia zaidi kuhamasisha vurugu na leo maisha ya wana wa arusha ni dhiki na tabu kila uchao.najua utakasirika nikikwambia ukweli huu lakini KAA CHONJO na chukua tahadhari,2015 sio mbali,TUNAJUTIA KURA ZETU KWAKO.TUMEPOTEZA NA HATUDANGANYIKI TENA.

Kafulila ni kijana mwenzetu mpambanaji na mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja na kushawishi.najua chadema wanamtamani lakini wana gwaya kwa kuogopa ku;la matapishi yao.slaa amemkaribisha ,zitto amemkaribisha,wewe umemkaribisha.kama si unafiki mnamuhitaji sana.Kafulila popote atakapoenda kigoma kusini watamfuata hata ahamie UDP.NRA,NAREA hata NLD.MWACHENI AAMUE MUSTAKLABALI WAKE ACHENI KUMKEJELI KAMA ULIVOMKEJELI WEWE HAPA JUU.
 
i)Nidhamu bila UHURU ni UTUMWA. Kama tunaweza kuwaambia Rais, Waziri Mkuu, mawaziri, Spika wa Bunge, n.k. kwamba uongozi wao ni dhaifu, hadharani na mbele ya kadmnasi, viongozi wa vyama vya siasa wanapata wapi utukufu wa kujifanya kwamba hawawezi kusemwa nje ya vikao? Viongozi wa vyama vya siasa ni viongozi wa umma na hawawezi kuficha udhaifu wao katika mwamvuli wa nidhamu.

ii)Maamuzi ya chama cha siasa chochote makini lazima yazingatie maslahi mapana ya kisiasa na kijamii kwa sababu chama cha siasa sio kitengo cha mahakama. Mahakama ina haki na wajibu wa kuchukua maamuzi yeyote madamu yamezingatia sheria zilizopo kwa wakati huo hata kama maamuzi hayo ni ya ovyo.Jambo hili haliwezi kufanywa na chama cha siasa makini cha watu.
iii)Vyama vya siasa vipo kwa lengo la kukuza demokrasia. Msingi wa demokrasia ni UHURU WA KUTOA maoni. Kama vyama vya siasa vitatumika kuziba watu midomo kwa kisingizio cha kulinda nidhamu ya chama vitakuwa vinaua demokrasia.

iv) Siamini,na haitatokea niamni, kwamba kumkosoa kiongozi yeyote hadharani ni utomvu wa nidhamu.
 
Wakati mwingine nimekua nikitofautiana na Lema kimtazamo,hadi sasa nimeamua kubaki neutral politically as nawaona politician kama MASHETANI wasiowezi kuupinga USHETANI wao kwa kujiangamiza wenyewe.Tujaribu kupima UKWELI pasipo kujari nani kazungumza.UKWELI NI UKWELI,HATA UNGALIZUNGUMZWA NA SHETANI.Ktk hili sipo tofauti na Lema kimtazamo.
 
hongera MH LEMA..nakubaliana nawe 100%..nidhamu ni kitu muhimu sana katika chama,na kamwe hauwezi ukawa upo juu ya chama..eti wewe ni mkubwa kuliko chama..KAFULILA rudi NCCR waombe radhi jipange upya kwa kuwatumikia wananchi waliokuchagua..kama una malengo kweli ya kuwa chairman wa chama jipange pambana..mara leo uko CDM kesho NCCR kesho kutwa CCK,..WANANCHI WATAKUCHOKA KWA KUWA UTAONEKANA HUNA MSIMAMO..NA WEWE NDIO TATIZO..mbuyu ulianza kama mchicha pale pale ulipo.. NAOMBA UJIFUNZE TOKA KWA LYATONGA..hoping to success without struggle is equal to boil an empty pot and waiting a soup..PAMBANA JIJENGE NDANI YA CHAMA UTAFANIKIWA.<siamini kama ulipiga goti na kulia,simamia unachokiamin ni sahihi>
 
Alichosema lema ni sawa kabisa ila kwa watu wenye akili za mgando hawawezi kuelewa hilo, maana ya sheria nilama zifuatwe na ziheshimie sio kuhurumiana angalia wenzetu mtu akikiuka tu ni out haijalishi ana hdhi gani huo ndio uongozi unaofuata maadili,watanzania wengi wamezoea kulindana kama serikari ya jk.ona akina luhanjo,ludovick mahela na wengineo wanavyolindana.big up kwa hoja nzuri na kafurila mnafiki,haonyeki.
 
Kafulila njoo ccm kwasababu umefukuzwa ccmb njoo ccm a sisi tunalindana hatufukuzani,kulindana ndio misingi yetu sisi ccm,kwani hutuoni tunavyosafishana......karibu ccm kwetu hakuna hizo,tunalindana tu.hata ukikiuka tunakulinda,fikilia wangapi wanaongea nje ya vikao lakini wote tumewalinda.karibu kwetu ccmmmm.
 
Wewe Kilewo, kazi yako ni upambe tu kwa viongozi wa Chadema...

Nakushauri tafuta kazi ufanye sio kuendekeza upambe tu, Serikali ya maisha yako ni kichwa chako!
 
GL unaposema kuwa masharti ya DC ili kupata misaada nikukosa utu hapo nimekuona kumbe na wewe utu huna.
Unapinga watu kufunga ndoa ya jinsia moja wakati wao huo ndo utu wao. Chama chenu kinaubili Demokrasia,je kuna Demokrasia bila kueshimu haki za binadam and minority rights? Hapa ndo tunasema wanasiasa wengi ni wanafiki zaidi kama wewe GL.
"Jambo Usilolijua ni Kama Usiku wa Kiza"
Kwani Demokrasia maana yake ni kutokufuata sheria?Demokrasia inaendana na Utawala wa sheria.Halikadhalika uhuru wa kutoa maoni unaendana na taratibu mlizo jiwekea.
 
wewe ***** kiongozi wa wapumbavu huku jf hata siku moja usireply comment yangu .

Wewe endelea kutoa matusi tu, lakini mimi taendele ku-Reply na ku-Quote post zako za upupu..

Sheria na kanuni za JF azinikatazi kufanya hivyo
 
Mh Lema umetoa maoni yako,nayaheshimu,lakini naomba nitofautiane nawe kdg.kwanza kumbuka hoja ya msingi ya wanachama wa NCCR akiwamo Kafulila ilikuwa ni kupinga mwenykiti wao kutumiwa na hivyo kukidhoofisha chama na hivyo kukifanya kionekane kama nacho ni CCM.pili kumfukuza kafulila kumedhoofisha demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.vyama vya upinzani vinajiita kuwa vinaitafuta demokrasia lakini NDANI YAO HAKUNA DEMOKRASIA,ni ile tabia ya ndio mzee na kwamba mkubwa hakosei.wewe umeonyesha wazi kushabikia uamuzi wa NCCR umesahau kuwa lile jimbo ni la upinzani na kwa namna moja au nyingine upinzani umedhoofika au umepungukiwa mtu.kafulila ni kijana mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja kushawishi na anaesimamia kile anachokiamini.sasa wewe unapokuja na maelezo kuwa NCCR wamefanya vizuri unasahau kuwa kafulila na wenzake walikuwa wanapambana na mamluki.Au unataka kunambia kuwa nawe umekurupuka ndo mana hata pasko amekujibu kwa maneno matatu tu?
Kwa upande mwengine,Slaa amemkaribisha,Zitto amemkaribisha na sasa wewe umemkaribisha.kama sio unafiki wa kisiasa CDM mnaogopa kula matapishi yenu kumkaribisha kafulila.kwa taarifa yako kafulila anakubalika sana jimboni kwake kigoma kusini,hata akihamia NAREA,NRA,CCK,CHAUSTA,watu wake watamfuata.AMINI.Ww umekuwa ukitumia marejeo ya kwenye bilblia lakini kwa hili umechemsha.
Naomba pia nitumie fursa hii kukufikishia ujumbe wa wana wa Arusha kuwa tuna kinyongo nawe na tunasitika kupoteza kura zetu kwako kwani tangu tumekupa kura hakuna cha maana ulichotufanyia zaidi ya kuhamasisha vurugu,maandamano na kukorofishana na viongozi wenzako.Angalia skendo ya madiwani wa arusha ulivoipeleka...2015 sio mbali,CHUKUA TAHADHARI.TULIDANGANYIKA HATUDANGANYIKI TENA.
Mwacheni kafulila aamue mustakabali wake kisiasa,msimpe ushauri na pole za kinafiki na kumkejeli kama ulivyokejeli wewe.kafulila usikate tamaa simamia unachokiamini.heshima ya woga na maadili bila usawa na haki haviwezekani.
 
tunasubiri helkopta kigoma kusini kama ilivyokuwa igunga wakati dar inaangamia kwa mafuriko hatuzioni.
 
Kafulila njoo ccm kwasababu umefukuzwa ccmb njoo ccm a sisi tunalindana hatufukuzani,kulindana ndio misingi yetu sisi ccm,kwani hutuoni tunavyosafishana......karibu ccm kwetu hakuna hizo,tunalindana tu.hata ukikiuka tunakulinda,fikilia wangapi wanaongea nje ya vikao lakini wote tumewalinda.karibu kwetu ccmmmm.
masaburi type of thinking
 
Wewe Kilewo, kazi yako ni upambe tu kwa viongozi wa Chadema...

Nakushauri tafuta kazi ufanye sio kuendekeza upambe tu, Serikali ya maisha yako ni kichwa chako!

katika harakati zozote zile duniani zenye kusimamia ukweli wapenda dhuluma hawakosekani kupingana na ukweli. Wapenda haki tunakutana na changamoto za matusi na hata vifo huwezi kutukuta kwa kusimamia ukweli ila wapenda dhuluma hawa na wpenda kupindisha ukweli kama wewe na wenzako kanwe hamtaweza kusimama na ukweli.

Najua aliyekutuma mwambie kilewo yupo vizuri sana FREEDOM IS COMING
 
If you read between the lines Lema's msg isnt directly directed to Kafulila he is jst purpoting on doing so but the real subject here is Zitto Zuberi Kabwe! Pamoja na ushauri kwa Kafulila lakini let us be optimistic huu ujumbe Lema anataka umfikie Kabwe kwa kupitia mgongo wa David thats all........ Na hili Bwa. Zitto analifahamu fika na anamfahamu vile vile Lema vizuri sana naamini Zitto atanena juu ya hili let us waitand see!!!

Soma kisha tafakari........*

*“Nimesoma taarifa mbali mbali juu ya kufukuzwa uanachama kwa Mbunge**David**Kafulila na nilipata fursa**ya kutoa maoni yangu pale vyombo vya habari vilipotaka hivyo kutoka kwangu, nimefuatilia kwa makini sana mijadala mbali mbali haswa katika mtandao wa Jamii Forum na kuona mawazo ya**Watanzania mbali mbali juu ya jambo hili.

Na ninafikiri ninao wajibu**kama kijana tena Mbunge kutoa maoni yangu na mtazamo wangu kwa kina juu ya jambo hili ambalo limemkuta Mbunge mwenzetu na rafiki yetu kijana Bwana David Kafulila.

“ Kwanza kabisa Bwana David Kafulila pole sana lakini kikubwa zaidi jipe moyo kwani changamoto katika siasa mara nyingi ni matukio yasio ya kawaida ambayo yanaweza kushusha heshima ya mtu au kupandisha heshima ya mtu, lakini tambua kuwa matatizo sio msingi mkuu wa kuharibu ndoto ya mtu makini aliyekusudia kutimiza jambo ambalo wajibu wake ni upendo , utu na ukweli katika jamii ni imani yangu kuwa**changamoto hii inaweza kukufanya uwe kijana mwenye**hekima zaidi**kwani katika kila changamoto kubwa Duniani hapo ndipo ukombozi ulipotokea Duniani.

*Ninatambua wakati unaopitia kwa sasa wewe na familia yako na wapiga kura wako , lakini kwa mtu makini kama mimi ni lazima pia nikipongeze Chama chako kwa uamuzi wake dhidi yako , chama chako cha NCCR-Mageuzi**kimechukua hatua muhimu katika maisha yake ya siasa na kwamba**“ Nidhamu katika Chama itakuwa ni msingi mkuu katika kutafuta ukombozi wa kweli katika Taifa,**Binafsi**sifurahi wewe kufukuzwa katika Chama lakini nimefarijika na jinsi Chama**kinachukuwa**taratibu kama NCCR kinavyoweza kuchukua maamuzi magumu ya kulinda nidhamu na heshima ndani ya Taasisi ya Chama cha Siasa.

Watu wengi hata mimi ningependa usamehewe , lakini David katika maisha ya siasa na Nyanja nyingine , uvumilivu na nidhamu katika kufanikisha maono au ndoto ni vitu ambayo ni msingi mkuu wa mafanikio**na hauwezi kuviepuka**ndio maana , Mtu mmoja mwenye hekima aliwahi kupata kunena kuwa “ huwezi kupata kifaranga cha kuku kwa kuvunja yai bali kwa kusubiri yai liatamiwe kwa siku kadhaa na**baadae vifaranga watatotolewa.

Lakini vile vile Mtu huyu mwenye hekima akasema tena**“ haijalishi**unampenda mke wako kiasi gani , kuna vitu unaweza kumsaidia na kuna vitu huwezi kumsaidia “ kwa mfano huwezi kumsaidia mke wako kubeba mimba hata kama unampenda**sana , hivyo malengo makubwa katika siasa ni jambo muhimu kwa kijana makini kama wewe kufikiria lakini uvumilivu na kusubiri ni*muhimu katika kufikia malengo makuu.

Mimi binafsi ninatofautiana na watu wengi kwamba kupoteza jimbo ni jambo gumu na baya , hapana kupoteza jimbo kwa sababu ya kulinda nidhamu ni jambo jema linalopaswa kufanyiwa hata sherehe , hivi kweli tunaweza kupima nidhamu**na ni kitu gani katika maisha ya mwanadamu**? na vile vile tufikirie kama leo Mbunge au Diwani akifukuzwa kwa utovu wa nidhamu na sisi tukafikiri ni makosa , je ni halali sasa vyama vya upinzani kutafuta kuunda dola kama vitashindwa kusimamia tu**nidhamu ndani ya vyama vyao**,je*vitaweza kweli kusimamia nidhamu ya dola pindi vitakapochukua madaraka ?

NCCR Mageuzi wamefanya maamuzi ya msingi na ya uhakika kulinda nidhamu ndani ya chama ambaye yeyoye atakayethubutu kulaani basi ajiulize swali hili ? Kama nafasi ya Ubunge inathamani kubwa kuliko nidhamu ndani ya chama na jamii , je mtakuwa na ujasiri kweli wa kupinga dhambi**dhidi ya utu wa mwanadamu ambapo hivi karibuni mlipewa masharti ya ndoa ya jinsia moja kama mnataka misaada ?

**sasa mkisema nidhamu ipuuzwe dhidi ya nafasi moja ya Ubunge , mtawezaje sasa kuvumilia**njaa ,mateso na dhiki dhidi ya kutetea utu wenu ? nina wasi wasi kuwa**siku moja pengine mtakubali yale mashariti mliyopewa**na**waziri Mkuu wa Uingereza ili muweze**kula lakini**kwa kudhalilisha utu wenu , kwani nafasi ya nidhamu katika maisha ya binadamu haupaswi kupigiwa kura .

Hivyo tukifahamu msingi mkuu wa mafanikio**kuwa ni**pamoja na**nidhamu ya kweli , nafikiri maoni ya wachangiaji**yatajikita katika kuutukuza ukweli na wala sio nafasi au cheo cha mtu,**Na ni hatari**wasomi wakifikiri kwamba lengo la vyama vya upinzani ni kushinda viti vya ubunge , madiwani bila kuzingatia maadili na nidhamu basi ni ukweli kuwa hatutakuwa na sababu ya msingi ya kuwaondoa madarakani chama tawala , kwani ugomvi wetu**vyama vya upinzani na chama tawala hausababishwi na tofauti ya rangi za bendera**bali ni msingi katika maadili, nidhamu na uwajibikaji usiozingatia haki na kweli ndio maana kwa sababu hiyo ufisadi,wizi na ubabaishaji umekuwa ukiongezeka kila wakati na kuletea Taifa madhara makubwa.

*Aliyekosa akiwa muungwana anaomba radhi na ndio ushauri wangu kwa David , lakini jambo hili limeshitua lakini pia limefundisha**na jambo la kushangaza hapa,**ni kwanini watu wameshituka sana Mbunge kufutiwa uanachama na sio kwanini Mbunge amekuwa mtovu wa nidhamu**, hata hivyo sifahamu mgogoro huu kwa kina sana , lakini najua**sihitaji ruhusa kuingia chumbani kwangu , mgogoro huu na malumbano yalikuwa wazi tena wazi sana ,
Sasa nimalizie kwa kusema**David bado unayo nafasi kubwa ya kujirekebisha na kuwa kiongozi mzuri , wako waliopata matukio magumu ya kisiasa kuliko wewe lakini waliweza kurudi kwenye nafasi zao kwa utumishi**kama,**Martin Luther King Jr.**alivyopata*kunena***“*The ultimate measure of a man is not where he stands in moments of comfort, but where he stands at times of challenge and controversy.

Naibu Katibu mkuu wetu Mh Zitto nimesoma habari mbali mbali kuwa amekukaribisha Chadema ,**lakini mimi kwa sasa**nakukaribisha**Arusha kama utapenda kupumzika huku ukitafakari ili upate kujua kuwa unapaswa kuhama Chama au unapaswa kuomba radhi na kujirekebisha ?

Mfano ,ukiuguua ugonjwa wa zinaa pamoja na kutubu dhambi kwa mwenyezi Mungu lakini**pia itakupasa kwenda Hosipatalini kutafuta dawa, sioni kama ni muhimu sana kuhama Chama isipokuwa kuomba radhi hata kama wewe sio Mbunge tena

*“Jipe moyo David Kafulila na Hongera NCCR-MAGEUZI. . Sasa ningekushauri utafute kitabu kinachoitwa**“ THE 21 MOST POWERFUL MINUTES IN A LEADERS DAY “ Kilichoandikwa na na mwandishi maarufu “ John C. Maxwell.
*
If you are a leader , it’s not enough to know what to do . You have to know when to act. “ John C. Maxwell.

Godbless Lema . (Mb)
 
hongera sana LEMA kwa maneno mengi matamu, ni ushauri mzuri na mapendekezo yaliyo na busara sana, na hii ni kwa fundisho kwa wantaznia wote, nadhan Godbless ameonesha umuhim wa kusoma vitabu, ndo maana anaweza kujenga hoja na kutoa mifano halisi na kukwambia ansma toka wapi, to be equiped with certain knowledge it is not a must to attend a class, u can read books, atend dialogues, magazine and different interesting articles, vilevile na mimi nimshauri bwana kafulila atufute kitabu kilichoandikwa na Mahatma Gandhi-the character and national building, kitamsaidia kwa kumjenga sana kimaadili na kimtazamo!
 
if you read between the lines lema's msg isnt directly directed to kafulila he is jst purpoting on doing so but the real subject here is zitto zuberi kabwe! Pamoja na ushauri kwa kafulila lakini let us be optimistic huu ujumbe lema anataka umfikie kabwe kwa kupitia mgongo wa david thats all........ Na hili bwa. Zitto analifahamu fika na anamfahamu vile vile lema vizuri sana naamini zitto atanena juu ya hili let us waitand see!!!

wee ni mchonganishi na utupishe na umbea wako, lema is smart and he never afraid anybody, anaheshimu sheria tu na akitaka kumwambia zitto sio lazima apitie mgongo wa kafulila, usitake kutuharibia chama na kugombanisha wapiganaji wetu,!
 
Back
Top Bottom