Jipatie website kwa ajili ya organization yako au kampuni bure kabisa

hbi

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
678
297
Habari zenu waungwana... tunatoa ofa ya kutengeneza website kwa ajili ya organization au kampuni bila gharama yoyote ila kwa makubaliano kuwa itakapokamilika itabidi ugharamie gharama kwa ajili ya kuihost.. Na pia kwa watu binafsi wanaohitaji blog zile zenye extension ya yourname.blogspot.com mnaweza kuwasiliana nasi.. Tunaomba ushirikiano wenu katika hili.. Kwa mawasiliano zaidi unaweza kunitumia messeji(PM) ili nikupe mawasiliano zaidi..
Asanteni sana
 
mara bure,mara pesa za kuhost,kiswahili kimenishinda! anyway hongera kwa hio biashara utapata watu tu
 
mara bure,mara pesa za kuhost,kiswahili kimenishinda! anyway hongera kwa hio biashara utapata watu tu
ndugu yangu website unatengenzewa bure ila wewe utalipia gharama kwa ajili ya kuihost.. kiswahili kipi kilichokushinda hapo... ila kama utakua hauna pesa kwa ajili ya kuhost tunaweza kuihost katika free hosting
 
kuhost gharama yake inakuwa vipi kaka,ebu toa break down ya kueleweka na vilevile tunahitaji surity kwamba unapatikana muda wote na je ni company??sio kesho na kesho kutwa unatoweka na webiste zetu hazionekani
 
Kuhusu kuhost website gharama zinatofautiana, kama unahitaji official domain name itabidi uregister your domain kisha utalipia gharaama kwa ajili ya hosting.. siwezi nikakutajia gharama halisi kwa ajili ya hosting ila kama unahitaji naweza nikakupa link ya baadhi ya kampuni zinazofanya hosting ili uangalie gharama zao.. kuhusu upatikanaji wetu tunapatikana mpaka mpale kazi yako itakapokamilika na itakapokua hewani kabisa.. kama utahitaji tuendelee kukusaidia katika maintance ya hiyo website tutazungumza na kuona namna tutakavyokupa msaada zaidi
 
Back
Top Bottom