Jipatie shamba bagamoyo kabla hujachelewa

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,274
9,910
Je ungependa kupata shamba Bagamoyo-Kidomole kwenye barabara inayojegwa kuelekea Msata? Ikiwa jibu ni ndiyo hujachelewa na bei ni poa kabisa Tsh 1.2m per heka, simply just call me 0716099463
 
wale kina rz1 hawajamaliza huko nasikia wanakomba kila kona sijui wanawanunulia kina nani!
 
Mkuu wa kaya si amewaambia wanabagamoyo wasiuze mashamba/mapori, au nilisikia vibaya?
 
Hata mi nlipata heka kwa laki 3 maeneo ya fukayosi,
tena namkumbuka mpaka mjumbe alieniuzia kwa Jina la BABA UBWA,
We hiyo 1mil umeitoa wapi?
Wacha utapeli wewe!
 
Back
Top Bottom