Jionee ndege ya kisasa ya Ethiopia ikiwa Nairobi

Something is better than nothing, hata tukinunua za kubebea maembe huko Ulaya ni bora kuliko aibu ya kuwa na mindege ya kukodi with -VE profit. Go go JPM, tuokoe na aibu ya kukalia kusifia vya wenzetu vyetu vikitufia
Mkuu unahitaji kurudi shule, msomi hawezi kuandika hivyo labda uwe mwehu wa ccm basi upo sawa.
 
Hata mi nanyamazishwa na wahudumu kama watano maana sijapewa jibu nani katulaani. Ethiopia wanatandaza reli za mwendokasi hapo nikifika nashikwa kizunguzungu mpaka zimamoto waninyanyue.'Tanzania ni yetu sote ila imetushinda
Mkuu hata mimi najiuliza maswali mengi sana

Ni nini hasa chanzo cha kupitwa kwa kila jambo la maendeleo..!?
 
Mkuu hata mimi najiuliza maswali mengi sana

Ni nini hasa chanzo cha kupitwa kwa kila jambo la maendeleo..!?
Nakwambia Ethiopia ukiingia Kati wanabandua miradi ukifika unachoka mwenyewe. Sisi kamradi kadogo utasikia nchi nzima inazizima serikali , bunge , hadi chama tawala inabidi tuwe na kiu muda wote na tusiridhike na tumiradi .
 
Naamini hizo NDEGE zitakazo nunuliwa TZ zitakuwa na safari za kwenda RWANDA TU.
 
Back
Top Bottom