Jionee Kiwanda cha kilevi haramu "GONGO" (Gongo production)

Hii pombe inaweza ikarasimishwa kwa kuwapa hawa vijana utaalam na kuwaongezea vyombo ya usafi na kuboresha mazingira yao ya kazi ili pomb einayotengenezwa iwe na ubora...!

Mbona Vodka, taquila ni kali hata kulko hii gongo...! Ni kwavile tu hizi Pombe zinatengenezwa kwa usafi na kuzingatia maingira ya kujali afya ya mlaji...!
 
Kweli kabisa mkuu wewe na jina lako bado ume support hii kitu, inaelekea kweli mswada unatakiwa uingie bungeni
 
Kitu muhimu hapo ni kuwafundisha namna ya kutengeneza katika mazingira yasiyo hatarishi!.
 
Pia wafundishwe ili watengeneze kwa kiwango kinachokubarika , ubora unaohitajika ili taifa lipate mapato kwa kukusanya kodi!
 
Back
Top Bottom