Jinsia yakujitoa FB

Maarko

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,189
602
Wadau wa Mtandao wetu makini wa Jamiiforums naomba mnisaidie,katika mtandao wa Facebook ukitaka kutoka unafanyaje wakuu? tafadhali naomba mnisaidie.
 
vipi mkuu yamekukuta yepi tena mbona wataka kujitoa? teh teh, mwanzo wa mwisho wa FB umewadia
 
Back
Top Bottom