Jinsia ya kompyuta yako (fun)

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
Ukitaka kujua kama pc yako ni ya kike au ya kiume, fanya ivi:


1. Fungua notepad
2. Andika mstari huu hapa, au copy kama ulivyo
CreateObject ("SAPI.SpVoice").Speak"I love YOU"

3. Save as "mtotosix.vbs"
4. Double click mtotosix.vbs

nimegundua yangu ni ya kike, ndo maana naipenda sana
 
Hili somo aliwahi kutoa bwana sharobaro.ila tunashukuru kwa wale ambao hawakuwahi kuiona watafaidika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom