Naomba kujuzwa jinsi ya kuzuia mimba baada ya tendo la ndoa

Tafakuru

Member
Dec 9, 2011
83
33
Wadau mimi na mpenzi wangu tumepima VVU na tupo salama. Mpenzi wangu haenjoy kabisa tendo kwa kutumia kondom na wala hanifichi karaha anayoipata. Pamoja na hayo sijahitaji mtoto kwa sasa hivi.

Jamani wadau ili kuzuia mimba zisizokua planned, naombeni mnisaidie mbinu rahis za kuzuia mimba. wapo wanaoniambia anywe Coca baada ya tendo, wengine wanasema anywe Zentel

Naombeni mwenye kaujuzi afunguke
 
My wife has the same problem we have one baby now of 1 year, I have Learnt to withdrawal and it works.

QUOTE=Tafakuru;4547014]Wadau mimi na mpenzi wangu tumepima VVU na tupo salama. Mpenzi wangu haenjoy kabisa tendo kwa kutumia kondom na wala hanifichi karaha anayoipata. Pamoja na hayo sijahitaji mtoto kwa sasa ivi. Jamani wadau ili kuzuia mimba zisizokua planned, naombeni mnisaidie mbinu rahis za kuzuia mimba. wapo wanaoniambia anywe Coca baada ya tendo, wengine wanasema anywe Zentel ...

naombeni mwenye kaujuzi afunguke[/QUOTE]
 
withdraw ni ngumu imenishinda mara kibao!...lazima utammimba tu...
na izo coca au zentel atakunywa mara ngapi?...
maana kutwa mnaweza kudandiana mara nane au zaidi...

ajifunze tu kuhesabu siku zake...mia

kwa udhamini mnene wa figganigga
 
Last edited by a moderator:
mambo vipi waungwana mimi ninampenzi nilikutana naye kimapenzi bati mbaya huyo mwanaume alinigomea kutumia condomotulianza kubishana naye huyo mwanaume akaniambia basi kunamafuta ya kuzuia mchumbuo hayo mafuta mimi siyafahamu kama ni mafuta gani kama yanazuru mimi sijui kama yana madhara gani mi sijui jamani naombeni masaada kwenu
aneye yafahamu hayo mafuta ya kupaka sehemu za siri aniambiye iliniweze kuepukana nayo.:yawn:
 
Na wewe hutaki mimba ama ukimwi?
 
Wadau mimi na mpenzi wangu tumepima VVU na tupo salama. Mpenzi wangu haenjoy kabisa tendo kwa kutumia kondom na wala hanifichi karaha anayoipata. Pamoja na hayo sijahitaji mtoto kwa sasa ivi. Jamani wadau ili kuzuia mimba zisizokua planned, naombeni mnisaidie mbinu rahis za kuzuia mimba. wapo wanaoniambia anywe Coca baada ya tendo, wengine wanasema anywe Zentel ...

naombeni mwenye kaujuzi afunguke
utazuia mimba na ukimwi ila hutakaa uzuie dhambi ya zinaa au uzinzi mnaoufanya, me nakushauri acha sex before marriage
 
Ah tafakuru umenichekesha sana,mi nnavojua zentel ni dawa ya minyoo labda iyo unayoongelea sjapata kuijua matumizi yake,ila kilichonchekesha ni dawa ya minyoo na kuzuia mimba mh.

Kuhusu kukushauri ni jinsi gani ya kuzuia kwa kweli niungane na michango iliyotolewa nikiwa na msimamo wa kwamba hapo mnazini tu,pengine mwende mkahalalishe tu make pamoja,ili mpunguze mashaka.
 
Ungeanza kwa kujishangaa mwenyewe. Kwaiyo ata ukiambiwa mtu anywe flagil utashangaa kisa ni dawa tumbo??? au ukiambiwa anywe majani ya chai ya kutosha utashangaa kisa ni chai???

its either unaelewa mdogo wa mambo au una umri mdogo sana au sio muungwana
 
mambo vipi waungwana mimi ninampenzi nilikutana naye kimapenzi bati mbaya huyo mwanaume alinigomea kutumia condomotulianza kubishana naye huyo mwanaume akaniambia basi kunamafuta ya kuzuia mchumbuo hayo mafuta mimi siyafahamu kama ni mafuta gani kama yanazuru mimi sijui kama yana madhara gani mi sijui jamani naombeni masaada kwenu
aneye yafahamu hayo mafuta ya kupaka sehemu za siri aniambiye iliniweze kuepukana nayo.:yawn:

agneth, inaelekea unampenda sana huyo mtu kiasi kwamba upo tayari kumkubalia kuhatarisha uhai wako ili yeye apate raha yake. kama huu ndio ukweli na huyo jamaa ametambua hili nakushauri chunga sana, huyo mpenzi asijetaka kutumia hayo mafuta telezeshi kwa njia nyingine. kama kweli unampenda nendeni kapime ukimwi kisha mfunge ndoa muendeleze libeneke kwa raha zenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom