jinsi ya kuyapata matokeo ya kidato cha pili 2011

dottoz

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
1,510
868
Wadau wenzangu naombeni mnisaidie jinsi ya kuyapata matokeo ya kidato cha pili,au kama kuna website ya kuweza kuyapata nipeni
asanteni.
 
Hakuna tovuti yenye matokeo, nenda shuleni ulipofanyia mtihani
 
Back
Top Bottom