Jinsi ya Kuyaondoa Magamba

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
551147_267842823316941_1823229347_n.jpg
Magamba yamefunga Minyororo Kila Sehemu tunashindwa pa Kutokea Dawa Kuu ni kuyandoa hata kwa njia hii Then Tuendelee na Maisha yetu Mazuri na nikuambue kitu hii ni Siri yako wewe tu Ukifanikisha kuyaondoa Magamba nchi yetu itakuwa nzuri Sana kuliko maelezo nchi isio na mafisadi au hata kama yatakuwepo basi yatakuwa hayana pa kuiba... no Dhurma na Kuzuia Waovu sababu Kesi ipo mahakamani na mahakama zenyewe kesi zinachukua Miaka nenda Rudi Tizama Mramba na Yona hadi leo Wanapeta Uraiani tu na wengine wengi we acha tu Tuyaondoe Magamba











 
Serikali hii inafanana na Watu wabaya wote waliwahi tokea katika Ulimwengu huu...
Hii list unaweza kuwafitisha watu waliomo katika Serikali hii na wakafiti fresh:-

Mumuani
Dracula
Wezi
Mafisadi
Waonevu
Chifu Mangungu
Hitler
Bokasa
 
Njia hii kampe NN akajaribu kwenye lile gamba lililoishia kiunoni liliohitaji shoka..........ha ha ha
 
Back
Top Bottom