Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 7,912
- 13,480
Una watoto wangapi? Kama wapo zaidi ya wawili Fanya mmoja msukule a k a ndondocha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakinga ni akina nani?
Siri ya utajiri ni ubahiri(li).
Hakikisha kidogo ukipatacho kinakuwa saved, punguza matumizi yasiyo ya ulazima kama kunywa pombe, kuchangia sana mambo yasiyo ya msingi yanayopelekea kupoteza pesa kama vikao vya harusi mbalimbali, party nyingi za marafiki kama birthdays.
Tafuta biashara ndogo ya ziada ya kuanzia kukuza pesa yako, fanya utafiti wa mahali unakoishi kuna opportunity gani ya biashara.
Well, utajiri kama wasemavyo wengi kama Warren Buffet ni kwamba,
''save more than you can spend'' ama
''spend what is left after saving''.
Una watoto wangapi? Kama wapo zaidi ya wawili Fanya mmoja msukule a k a ndondocha
Siri ya utajiri ni ubahiri(li).
Hakikisha kidogo ukipatacho kinakuwa saved, punguza matumizi yasiyo ya ulazima kama kunywa pombe, kuchangia sana mambo yasiyo ya msingi yanayopelekea kupoteza pesa kama vikao vya harusi mbalimbali, party nyingi za marafiki kama birthdays.
Tafuta biashara ndogo ya ziada ya kuanzia kukuza pesa yako, fanya utafiti wa mahali unakoishi kuna opportunity gani ya biashara.
Well, utajiri kama wasemavyo wengi kama Warren Buffet ni kwamba,
''save more than you can spend'' ama
''spend what is left after saving''.
Tafuta wazo zuri la biashara then kachukue mkopo!...
Thinking or thanking?settle &think critically,,, money is a matter of thanking
:sad:WHY?Jifunze sana kuwa mtu wa 'kuaminika'
hiyo ndo easiest way ya kuwa tajiri
watu hupeleka pesa zao kwa watu 'wanaoaminika'
Jamani kama kichwa kinavyojieleza,nauchukia sana umaskini,siupendi umaskini,nimefanya kazi sana za kuajiriwa na huu ni mwaka wa kumi lakini sitajiriki nifanyeje?
Una watoto wangapi? Kama wapo zaidi ya wawili Fanya mmoja msukule a k a ndondocha
Jambo la kwanza ni kukamata fulsa iliyopo.
NENDA KASOME VITABU
Kuwa na budget binafsi.
Siri ya utajiri ni ubahiri(li).
Hakikisha kidogo ukipatacho kinakuwa saved, punguza matumizi yasiyo ya ulazima kama kunywa pombe, kuchangia sana mambo yasiyo ya msingi yanayopelekea kupoteza pesa kama vikao vya harusi mbalimbali, party nyingi za marafiki kama birthdays.
Tafuta biashara ndogo ya ziada ya kuanzia kukuza pesa yako, fanya utafiti wa mahali unakoishi kuna opportunity gani ya biashara.
Well, utajiri kama wasemavyo wengi kama Warren Buffet ni kwamba,
''save more than you can spend'' ama
''spend what is left after saving''.
Siri ya utajiri ni ubahiri(li).
Hakikisha kidogo ukipatacho kinakuwa saved, punguza matumizi yasiyo ya ulazima kama kunywa pombe, kuchangia sana mambo yasiyo ya msingi yanayopelekea kupoteza pesa kama vikao vya harusi mbalimbali, party nyingi za marafiki kama birthdays.
Tafuta biashara ndogo ya ziada ya kuanzia kukuza pesa yako, fanya utafiti wa mahali unakoishi kuna opportunity gani ya biashara.
Well, utajiri kama wasemavyo wengi kama Warren Buffet ni kwamba,
''save more than you can spend'' ama
''spend what is left after saving''.
No I know saving can never make someone rich rather you could advice him to invest...
I bet investing will make him reach than saving dude....
Nyinyi ndio mnatakiwa JF...ubarikiwe aisee..ushauri mzuri sana