Jinsi ya kuunganisha 1 kwa monitor 10(aka pc 1 user 10)

Yeah nakijua mkuu..unaunga hata monitor 100 ila mtumiaji ni mmoja na zote zina display kitu kimoja hapa ni tofauti mkuu!! sijui kama unaelewa kinachozungumziwa mkuu. hapa kila monitor ina fanya program zake na kwa muda wake
kuna kifaa kimoja kinaitwa matrox ambacho kina dvi na analogy hicho unaweza kuunganisha monitor hata kumi na zaidi
 
kama hawatumii ubuntu ni window basi itakuwa wanatumia method aliyosema mkuu mtazamaji kwenye post ya tisa hapo, yote possible
Kuna internet cafe moja somewhere mwenge nimeona hiyo kitu 1pc 3monitors
 
i hav t n nime2mia kwa mda sasa, ni recomended ukwa na atleast ram 1g ts 9c and economical
 
Ndio mkuu!! ila si unajua business!! hiyo hub ni hub kama hizi zetu sema wao wameitengeneza maalumu kwa kuongeza port kutokana na mahitaji, anyway u r right mkuu. sababu ukitaka kuunga computer nyingi lazima uwasiliane nao wakupe software manual na hardware kama hiyo. japo hata wewe unaweza kutengeneza hub ya 10 port kwa kuunga hub za kichina zipatikanazo bongo ukapata usb port 10 na kuendelea. Tatizo tuelewe hii ishu inafanyenye kazi, port si ishu...mkuu we can hack it na kupunguza gharama kwa kutengeneza port zetu wenyewe
Sharo, hii kitu umeirahisisha mno. Hiyo USB hub siyo yoyote tu, ni ya kwao hawa jamaa wenye hii softiwea yao -- inaitwa USB MultiSeat device, na pia siyo bure kama unavyotaka tuamini. Unainunua na utahitajika kulipia licence.

Nimewasiliana nao ili kuona uwezekano wa biz, nitaleta feedback wakiwasiliana na mimi.
 
sisi hapa tunatumia citrix kwa ajili ya accpac server ya wahasibu na wote tumewaunganisha hapo........hii ubuntu iko poa sana maana hapa nimejaribu kwa monitor 5 imefanya kazi ivuri na watu wanashangaa tu hapa ofcn.....
 
hub zinapatikana kirahisi ila za kichina...nimewasiliana nao hawa jamaa kwa simu yao +1.403.289.2177 na wamesema itabidi tununue hizo hub zao..nasubiri price hapa
 
Yeah!! sijakosea kuandika ni kweli kabisa kwa sasa Technology ipo mbali sana zaidi ya tunavyofikiria watanzania na madeni ya Dowance na Tatizo la TANESCO!!

OK...

Kwa watumiaji wa UBUNTU sasa unaweza unganisha MONITOR 10 zikatumia PC moja tu na kila user akawa anajitegemea bial interfearance yoyote!!

ni kweli Kila user anakuwa na MONITOR yake Keyboard yake na Mouse yake!!

Nazote kumi zinatumika kwa wakati mmoja. yaani huyu ana peruzi JF mwingine ana type maandishi, yule anacheza game mwingine anaaa....yaani wewe tu.

Tena sio mwisho kumi tu unaweza unganisha hadi Hamsini 50 users kwa 1 PC!!
(Yeah ulizani unajua kumbe hujui kitu)

Faida:
unaweza unganisha kwa OFISI ukapunguza gharama,kwa kununua PC 1 tuu!! na monitor kibao
mfano--internet cafe
---shule aka skuli

HOW:
Userful MultiSeat Linux 2011 Complete Virtual Desktop School Computer Education Solution

Ni program ambayo unainstall kwenye pc ambayo unataka iwe ndio main.

yaitwa userful multseat.

ukisha install unaunganisha usb hub port 2

ambayo ina port 10 na 10

so total port ni 20..... so kila port unaingiza usb mouse na keyboard

so utapata 10 users.

na VGA port ipo kama usb hub na yenyewe unaunganisha 10 monitors..

ok kama huelewi helewi hii hapa ni site yenye program hiyo na maelekezo.

kwa bahati mbaya FREE TRIAL unaunga computer 2 tu kwa 1 pc Kama ukipenda unai nunua.

Home : Multiseat Linux Desktop Virtualization And Secure Centrally Managed Computers - Userful

haya wajasiria mari!!! wenye cafe....wenye ofisi zetu zile mafundi simu ... kazi ni kwako jamaani

Cheers!!!!

Mkuu nafikiri una maana ya kutumia Central Processing Unit (CPU) moja ambayo itakuwa server kwa monitors zaidi ya moja au sio?. Na mambo ya Dowans yana wakati na watu wake!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom