Jinsi ya kutumia internet bure na kuongeza speed ya modem yako

bure ni gharama, hayo ma procedure ya kuua sijui nini ya kazi gani. Watu hatuna huo ujanja, weka vitu simple, sio mambo ya kuwekeana virus wakuu. Laptop yangu mpya wala sijaribu hiyo kitu
 
ok.. This is how it is.. Ikifika saa sita kamili airtel wanakupa 200 mb free ambapo u can only use it mpaka saa kum na mbili sasa.. This how this hack

works ndio ukimaliza mb 200 and thats it huwezi endelea kutumia free.. Sasa sio kila mtu anaweza maliza 200 mb and better yet kuitumia muda huo

wa saa sita usiku mpaka saa kumi na mbili.. Thats why pia kasuggest uwe na line mbili apo utatumia 400 mb free but only ile 200 mb ya kuanza

katika muda ambao umepewa free ikifika saa kum na moja... Unabadili line nyingine kabla haijafika saa kum na mbili then unaiping.. Sasa apo

utaweza tumia firee mpaka

a) umalize izo 200 mb

b) uidisconnect mwenyewe

this is useful kwa wale ambao light surfers na pia ambao hawawezi kununua package if ur lucky enough.. Utaweza surf free continuously.. Na pia

this sofware ni faida pia not for free internet.. But also kama umechunguza ukiunga package any network.. Lakini kuna wakati inatokea som

disconnections.. Somtimes ni kidogo na somtime ina kera this fixes it na hautakuwa disconnected and browse without interruptions. Ni hayo tu.

mkuu nakushukuru sana kwa kufuatilia
 
Mkuu unao ushahidi kuwa wanakuchunguza unavyofanya mambo yako?kwani wamekuwa FBI?

sio kila anaechunguza anakuwa FBI mwanangu. jaribu kupanua uoni wako. hata mumeo anaweza kukuchunguza. kwani askari kanzu wa tanzania pia ni FBI? ....... joke
ila angalia license agreement yao. wamelisema hilo wazi wazi...... wala hawakuficha
 
sio kila anaechunguza anakuwa FBI mwanangu. jaribu kupanua uoni wako. hata mumeo anaweza kukuchunguza. kwani askari kanzu wa tanzania pia ni FBI? ....... joke
ila angalia license agreement yao. wamelisema hilo wazi wazi...... wala hawakuficha
Sawa Baba lakini mimi pia Dume kama wewe ukisema mumeo anaweza kukuchunguza unamaanisha mimi ni Mtu mke nini? hhahahahaha Mzee Paje wewe Mtu wa wapi Yakhe?
 
Back
Top Bottom