Jinsi ya kutuma message bureee!!!

Mimi hata sikumbuki kwa mara ya mwisho nilituma sms lini!
Mi naona unafuu hapa sio gharama bali ni portability ya simu badala ya PC.
Otherwise, mwingine angeprefer kutumia Skype maana si mtu lazima awe na internet connection?
Bure iko wapi sasa hapo?
 
Ili uweze kupata hii service unachotakiwa ni kufungua hii website JaxtrSMS - The World's Only Free and Open Texting Application kisha download jaxtrsms app ambayo ni compatible na simu yako. Ukishadownload hiyo app ifungue na ujiregiste, ukishamaliza hawo jamaa watakutumia validation sms kwenye namba yako na hakikisha ume confirm kwa kuopen hiyo link waliyokutumia hapo ndipo utaweza kuenjoy hizo unlimited free sms.
Note: hiyo huduma inaitaji internet connection

hii ya ukweli,ila mbona nikijaribu kuinstall inagoma? Inasema file corrupted. Nifanyeje?
 
Ok kwa wale itakawo wagomea. Mara nyingi cmu znazotumia java jad file zina end up kugoma kama kwangu nokia n72.
Idownload kutoka apa hii ni jar file itadownload na kuinstall bila tatizo:
wfs04.wapka.mobi/download-870313-dc3deeea5bb59f665849/JaxtrSMS%28masudr.wapka.mobi%29%20.jar
 
sasa mkuu nidownload jaxtrsms app ipi mi natumia sony ericsson?
 
thanx mkuu, kwangu imekubali ila tatizo kubwa haina delivery report..na kuna kipindi unatuma txt hazifiki..ila ni app nzuri..af kuna app nyngn inaitwa whatsApp, hii unaweza kutuma audio files, image na video ila tatizo lake na mwenzako hadi awe nayo
 
Ok kwa wale itakawo wagomea. Mara nyingi cmu znazotumia java jad file zina end up kugoma kama kwangu nokia n72.
Idownload kutoka apa hii ni jar file itadownload na kuinstall bila tatizo:
wfs04.wapka.mobi/download-870313-dc3deeea5bb59f665849/JaxtrSMS%28masudr.wapka.mobi%29%20.jar

Aha! Mimi pia natumia nokia n72,kwa hiyo ili niweze kuinstall nahtaji kudownload java kwanza. Ila bado cjaelewa jinsi ya kuipata. Msaada zaidi tafadhali.
 
yani mkuu download iyo kitu kupitia iyo link apo juu
haitaleta error kama ilikuletea error katika link ya mwanzisha thread.
 
Hzo fix 2 wameni2mia txt yao flan ya kuconfirm,bt nimejarbu ku2ma txt kwa mtu,wamenikata gharama zle zle,yani tsh 49.50..
 
wanaobisha kuhusu hii application na hata hawaja ijaribu ni wa pu u zi
 
Hzo fix 2 wameni2mia txt yao flan ya kuconfirm,bt nimejarbu ku2ma txt kwa mtu,wamenikata gharama zle zle,yani tsh 49.50..

mkuu uctume msg kwakupitia njia uliyo izoea.lazima u open hiyo applctn alafu nenda sehemu ya new mesg
 
tnx mkuu kitu kinakubari yan tnx sana. Watu humu ndani wengne wapo kwa ajili ya kuponda kila kinacholetwa na wasilo lijua ili waponde.
Badilika ndiyo maana ili jukwaa likaitwa jukwaa la sayansi na technolojia ili kuelimishana tusiyo yajua
 
yani mkuu download iyo kitu kupitia iyo link apo juu
haitaleta error kama ilikuletea error katika link ya mwanzisha thread.

Unajua tatzo ni nini? Hyo link haifunguki kwenye cmu yangu. Nikishusha cursor kwenye hyo link haifunguki,wala haiwi hilighted. Alafu istoshe sina java kwenye simu yangu ndo maana nikasema unieleweshe jinsi ya kuipata,labda ndo maana inakataa kuihilight...
 
simu yako ni aina gani?
 
OK mkuu nimeiweka link vizuri sasa tatizo sio java ipo mimi niliweka link vibaya idownload moja kwa moja HAPA kama ikigoma iyo idownload mediafire HAPA just ikishafunguka click download.
 
Mimi hata sikumbuki kwa mara ya mwisho nilituma sms lini!
Mi naona unafuu hapa sio gharama bali ni portability ya simu badala ya PC.
Otherwise, mwingine angeprefer kutumia Skype maana si mtu lazima awe na internet connection?
Bure iko wapi sasa hapo?

Unaifahamu Tanzania na Afrika kwa ujumla?Unaishi wapi?kumbuka bado wengi tuna-access Internet thru the mobile.Hata hapa JF over 80% tunatumia mobile mara nyingi kulog in.
 
Back
Top Bottom