Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 4,982
- 4,481
- Thread starter
- #401
Je, ni madhara yapi humtokea mtu atakayefanya mapenzi na Spirits nyingine?
Na hizo spirits ni zipi? Ni malaika, watu waliokufa au ni mashetani?
Kwa Wewe Tuyaite Mashetani kufanya madhara na spirit tofauti na binaadamu kuna madhara ambayo utayapata sawa na kuzini na jini mahaba mikosi nuksi n.k lakini kwanini utoke astral kuzini wakati kuna mengi ya kitukufu na ya faida ya kujifunza zaidi ya huo uchafu?
"Rakims"