Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JINSI YA KUTIBU UGONJWA HATARI WA KIFUA KIKUU tuberculosis

Discussion in 'JF Doctor' started by MziziMkavu, Oct 9, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,326
  Likes Received: 2,403
  Trophy Points: 280
  Kifua kikuu ni ugonjwa Hatari sana kwa binadamu na ugonjwa ambao unaambukiza kwa njia ya hewa. n
  Na ugonjwa huu unaathiri mifupa na mapafu dalili za ugonjwa huu ni hizi zifuatazo:

  1. Kupungua uzito wa mwili.
  2. kuumwa mara kwa mara.
  3.Kifua (kikohozi kisichopona).
  4.Kukohowa na kutoka damu.

  Matibabu yake ni haya hapa

  Chukua juisi ya Kitunguu Thaumu kikombe kimoja changanya na kijiko kimoja kikubwa kilichojaa habbat sauda koroga vizuri kisha unywe kila siku kikombe kimoja Asubuhi na jioni kwa muda wa miezi miwili. Kwa uwezo wa Allah atapona. Pia mgonjwa anatakiwa ajiepushe na kazi nzito ikiwemo jimai (Sex). Na anatakiwa apate chakula cha kutosha na kilicho bora. Asanteni kwa leo naishia hapa kwa herini.

  Chanzo MziziMkavu Make it or Break it 2Pac - Make it Or Break It - YouTube
   
Loading...