Chief;
Kama uko DSM nina shida ya kutengeneza Website kama 5. Tuwasiliane kwa PM tafadhali.
Mnyalukolo shukrani, mi kuna mshkaji aliniingiza mjini kwenye kutengeneza website, je naweza ku ku inbox
1. ndio utaweza kutumia hizi hosting file ukishatengeneza account nenda kwenye control panel utaona sehemu imeandikwa import/upload website hapo ndo utahamisha website yako
2.kila free hosting inatoa subdomain na hazifanani ukitaka subdomain ya .blogspot.com lazma ukafungulie kwao mfano free host ya hostinger wao subdomain yao inaitwa 16mb.com so website itaitwa mbishimimi.16mb.com so inategemea na subdomain wanayotoa. na hili utLIJUA MWANZO TU MAANA WATAKWAMBIA UCHAGUE
boss ulikua wapi miaka 5 iliyopita? hebu nijuze inakuwaje nikitaka kuweka membership details za memba nazikuta wapi pamoja na record zao
Hii ni tutorial ya ya simple website hio yako itabidi mtu aende deep zaidi kwa kutengeneza database ambayo ningeshauri uajiri webmaster maana itahitaji security kubwa tu kuprotect details za member
Mkuu Samahani,Ningeomba unipe host site kama webs.com lakini chini wasiweke matangazo yao.please!
Mimi nina domain iliyosajiliwa na host.je naweza kutumia domain moja host wawili? Au naweza kubadilisha host?