Jinsi ya kutengeneza kalimati

Fikra mlazo

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
237
37
Habari nduguz. mwenye namna ya kuteblngeneza kalimati anielekeze pls. recipe nlopewa mara ya mwisho zilitoka nyembamba na zilinyonya sana mafuta, in short sikuzifurahia. Msaada tafadhali.
 
Jaribu hii

Kaimati

C:\Users\LUGAYA~1.MAS\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.jpg

Vipimo

Unga 2 vikombe vya chai

Hamira 1 ½ cha chai

Samli 1 kijiko cha chai

Maji 1 ½ kikombe cha chai (kiasi)

Mafuta ya kukaangia kiasi

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

  1. Changanya unga Hamira, Samli, maji, kisha vuruga kulainisha unga hadi uwe hauna madonge na mwepesi kiasi.

  1. Funika unga uumuke. Ukiuumuka (ukifura) choma kaimati katika mafuta ya moto.

  1. Ziepue na zichuje mafuta.

  1. Weka kaimati katika bakuli au sahani kisha mwagia *Shira zikiwa tayari.
Shira:

Sukari 3 vikombe

Maji 1 kikombe

Hiliki ¼ kijiko cha chai

Arki (rose flavour) 3-4 matone

Namna Ya Kutayarisha Shira

1.Tia sukari na maji katika kisufuria kidogo, acha kwenye moto ichemke pole pole hadi iwe nzito ya kunata.

  1. Tia hiliki na arki ikiwa tayari kumwagiwa juu ya kaimati, huku unavichanganya na huku shira ikipowa na kugeuka kuwa sukari kavu.
Kidokezo:

Shira ya Kaimati hizi iwe nzito ili unapochanganya na kaimati igeuke kuwa kama sukari ya visheti.
 
Shukriya

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom