Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Wakuu hasa wataalam wa maprogramming.
Nataka kujaribu kutengeneza app ya android na specificaaly app ya Ramani(gogle map) ya Tanzania au dar Es salaam ambayo nitauwa nime icustomise.
Pamoja na ku gooogle naomba wataaam na wajuvi wenye practical experince mnifahamishe juu ya nyenzo zinazotakiwa , na mengineyo. jinsi ya kutengeza apps za android.
=========

Habari wana JF, Heri ya Karume Day na kwa ufupi sana ningependa kuwakaribisha kwenye makala hii fupi ya jinsi ya kutengeneza app za android bila kuwa na ujuzi wowote. Kumbuka makala hizi zinapatika Tanzania Tech hivyo kama ungependa kujifunza zaidi basi nakusihi kuangalia Tovuti yetu unaweza kujifunza mapya kuhusu teknolojia!
Basi kwa ufupi ningependa kusema kuwa somo letu litakuwa kwa njia ya video hii ni kutokana na kuwa ni rahisi kufuata vitendo na kila kitu kime elezwa vizuri zaidi kuliko hata maelezo yenyewe, lakini pia kama wewe ungependa kusoma maelezo basi unaweza kutembelea hapa na utakuta maelezo yote yanayo usiana na jinsi ya kutengeneza app za android bila kuwa na ujuzi wowote. I Hope hii itakusaidia kwa namna moja ama nyingine, kama una swali ushauri au chochote tuandikie hapo chini nasi tutakujibu hapo hapo..... I Hope You Enjoy it!!!