Jinsi ya Kutambua Umri wa Mwana-JF

Guessing from Language and Avatars you are. Strange person indeed.

Only a fool cant see that. May the force be with you always and every where.

A good assignment you have given yourself. To Keep busy you want. Keep it up and dont turn it loose.

Oh my goodness!Doctorz you have inspired my heart and thus doctored my mind.Thank you for your constructive observations.I take them!
 
kingine hulka ya uandishi!mtu mwingine kwa tabia yake ya uandishi unajua kabisa huyu ni wa age gani!mfano mimi leo nikijifanya babu sichukui muda mtanijua tu!lakini for all these years unaona kabisa kuna mababu wa kweli kama babu dc,odm etc!wako consistency kwa hulka yao ya uandishi![/QUOTE

Mkuu Mc.Wewe kigezo chakutambua umri wako itakuwa ni jina pia kwako ni rahisi kuongeza hata kipengele cha tabia.Kwanini?Just being an MC...wohoh!
 
Napinga hoja, kuna watu huishi maisha ya kimtandao kutokana na yeye anavyopenda kuonekana. Akitaka watu wajue ni mtoto ataact kiutoto na hivyo hivyo kwa kiutu uzima. Kuna wengine ni vijana ila wana akili na busara zaidi ya watu wazima hivyo mabandiko yao yana hekima. Wapo watu wazima hovyo vile vile, posts zao ushuzi mtupu.
 
Yaweza kuwa kweli......na/au.....isiwe kweli!! Mtazamo wangu mimi ni kwamba, kupitia posts/comments aandikazo mtu.....unaweza kujua ama kugundua uelewa wake katika jambo fulani lakini kwa umri ndugu yangu, hapo tutakuwa tunaassume tu!! Nadhani mwanajamii Husninyo kanisaidia kuelezea!
 
Napinga hoja, kuna watu huishi maisha ya kimtandao kutokana na yeye anavyopenda kuonekana. Akitaka watu wajue ni mtoto ataact kiutoto na hivyo hivyo kwa kiutu uzima. Kuna wengine ni vijana ila wana akili na busara zaidi ya watu wazima hivyo mabandiko yao yana hekima. Wapo watu wazima hovyo vile vile, posts zao ushuzi mtupu.
You can not hide ur identity whatever u can pretend, ni sawa na Kongosho anafurahisha baraza kwa kujifanya SHEMALE, lakini hakuna tatizo lolote kwa muelewa wa Mambo kujuwa kwamba Kongosho ni mwanamke with all woman feelings.
Tena basi nikupe kifuta jasho ni kwamba kuna majukwaa humu ambayo hata uwezi kupata shida ya kujuwa umri wa watu hasa MMU.
 
Umesema kweli Husninyo!! Hasa ukizingatia kuwa, sababu za kuendelea kujulikana 'yeye flani'........ni tofauti kwa kila member! Nimenote kitu kizuri sana kutoka hapa kwako, MAISHA YA KIMTANDAO.......nadhani hii yaweza kutupa picha halisi!
 
ngoja nisikubishie ingawa nilishakutana na mwanajf, yupo tofauti na avatar yake, tofauti na posts zake na sikutaraji kama umri wake ungekuwa ni huo alionao. Kuna mwingine alikuwa anabehave mwanaume na hakuna aliyemtilia mashaka. Akabadili ID na sahivi anabehave kama mwanamke na hakuna anayemtilia mashaka. Ni ngumu kujua. Tuendelee tu kuguess guess.
 
yap kipipi, hata sahivi ukiamua kuja na ID mpya na ukataka kuonekana mtu wa aina flani au mwenye umri flani utawateka watu.
Hata hawa kina babu DC wanajiita mababu ila inawezekana ni vijana au watu wazima tu.
 
Wachangiaji wengi wa MMU watakuwa chini ya 45. Kweny MMU huna haja ya kuumiza kichwa chako nini cha kusema. Anything goes. Hata mwanafunzi wa shule ya kata ana weza kuchangia humo bila matatizo.
 
ngoja nisikubishie ingawa nilishakutana na mwanajf, yupo tofauti na avatar yake, tofauti na posts zake na sikutaraji kama umri wake ungekuwa ni huo alionao. Kuna mwingine alikuwa anabehave mwanaume na hakuna aliyemtilia mashaka. Akabadili ID na sahivi anabehave kama mwanamke na hakuna anayemtilia mashaka. Ni ngumu kujua. Tuendelee tu kuguess guess.

husny umesema kweli..
 
Mimi nina 45, je wewe katika makadirio yako kutokana na maandishi yangu ulikadiria kuwa nina miaka mingapi?

Mpita Njia,

Haiwezekani huo kuwa umri wako ha ha ha , sisi tulikuwa wadogo saana na wewe tunakuona unadunda umevaa zile ndula za milosisi ha ha ha ha sasa mpaka leo unachechemea hapo kweli? wewe ni 50 bana, usione haya kaka yangu
 
..Naongeza; hata ukijaribu kuangalia aina gani za mada zinachangiwa na nani zaidi utagundua tu..mfano kwenye masuala ya siasa na mapenzi.......
 
chipolopolo hebu fanya u-shekhi yahya unitajie umri mkuu, ikiwezekana miaka, miezi, wiki na siku kabisa
 
Back
Top Bottom