Jinsi ya kushiba...

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,107
2,506
Anza na glasi mbili za maji,telemshia mahindi ya kuchemsha matano,fuatiliza pilipili hoho kama tatu hivi,kandamiza viazi vitamu vinne vilivyoshiba, piga coca-cola tatu za chap-chap bila kupumzika,alafu endelezea kutafuna kilo tatu za mbuzi, nyunyuzia maziwa lita moja na nusu na ukamilishie slace moja ya mkate kabla ya kutundulizia mihogo mikavu miwili na bila kusahau umaliziaji wa firigisi kavu nusu.

Hapo ndo utakuwa umeshiba vizuri kabisa...
 
loh nimecheka mpaka nimepaliwa,.wewe lazima ulizaliwa kijijini na kukulia huko
 
Hahahahaaa! Wengine wanakula hivyo baba!

Kuna wakati nilikaribishwa mlo wa jioni mahali,akatokea mgeni mwingine naye alikaribishwa,sasa kasheshe ni kwamba huyo mgeni akapakua chakula karibu chote akabakizia kiasi cha mlo unaomtosha mtoto wa miaka mitatu,na akamalizia mboga zote za majani na alipunguza mno nyama na akabakizia kiasi kidogo cha mchuzi na ndizi akazibeba kama tatu hivi wakati wenyeji wenyejwe wako kama sita hivi waliambulia kupika ugali na kula.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom