Mada: Fahamu mbinu mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kupata mtoto wa kiume

It goes like this: mwanaume awe ametunza sperm za kutosha, at least akae bila kusex au kumastabet kwa sikh 3ili kuongeze volume ya sperm na uimara( Volume,motility strength)second: Mfanye sex sikh ya Ovulation, yaani siku ya 14 ambayo yai linapevuka kwa sababu mtoto wa kiume anatengenezwa na Y chromosome ambayo in a speed kuliko X chromosome lakini ni dhaifu, life span ni shortThird:Wakati wa kusex mtumie position ambayo itawezesha sperm zote ziweze kuingia kwenye uke, mfano kifo cha mende, mwanamke alale chali na akunje miguu yote kuja kifuani kwake, au Rear entryFourth: siki tatu au mbili kabla ya yai kupevushwa mwanamke ale vyakula visivyo na acid,ili kuwezesha mazingira ya uke yawe alkaline ambayo ni friendly kwa Y chromosome survivorSixthy: Muombe mungu, ambayo kama ningekuwa mimi hili ndo lingekuwa FirstGood luck………….
 
Anza kutekeleza ushauri namba sita na mengine ambayo nakubaliana nayo yafuate.
 
Hongera mkuu, kwa vile umemaliza mchezo mie nnaswali la kawaida tu.
Umemuandalia kesho huyo mtoto?
 
jambo wakuu. Jamani mwenzenu natamani sana mtoto wa kiume. Naelewa mtoto ni zawadi kwa Mungu na ntampokea yeyote kwa shukrani lakini napenda tu kupata mtoto wa kwanza wa kiume.
Nimefatilia ushauri humu kuwa natakiwa kucheza game siku ya 14 na ndo kesho.
Hebu wataalam niongezeeni maujanja mengine hapa ili kuongeza posibility ya kutupia kitu cha kiume. Tukumbuke kuwa siku yenyewe ya 14 ndo kesho hivyo muda hasa wa kupokea ushauri na mbinu nyingine ni sasa hasa juu ya mkao, chakula, muda muafaka na kila njia jaman ili tu nitupie mtoto wa kiume

Step by step
 
Habari wadau, madokta, mabibi na mabwana wote wa JF!

Niko mbele yenu kuomba ushauri. Nina mtoto mmoja wa kiume. Ninahitaji mke wangu anizalie mtoto wa kike ili tufunge kuzaa. Kisayansi nimepata kusikia hili la kuamua jinsia ya mtoto wa kumzaa.

Je, nifanyeje? Mzunguko wa mke wangu ni 30dys.

Thanx kwa ushauri mzuri.
 
mkuu ninachojua mimi ni kwamba unatakiwa ujue siku ya hatari ya mkeo ukilifaham hilo unatakiwa uingie kama sikosei siku mbili nyuma kwa sababu mbegu x zina uwezo wa kuishi siku tatu lakini y ni rahisi sana kufa ila ngoja tuwasubiri madokta watakuja kutueleza vizuri
 
Nashukuru kaka
 
Habari wadau, madokta, mabibi na mabwana wote wa JF!
Niko mbele yenu kuomba ushauri. Nina mtoto mmoja wa kiume. Ninahitaji mke wangu anizalie mtoto wa kike ili tufunge kuzaa. Kisayansi nimepata kusikia hili la kuamua jinsia ya mtoto wa kumzaa. Je, nifanyeje? Mzunguko wa mke wangu ni 30dys.
...Thanx kwa ushauri mzuri
Piga miti kitakachotokea ndio hicho hicho. Mimi sio Mungu siwezi kuiibu
 
Uko pande zipi ili tukutane nikuelekeze kisha inshaallah utapata kidume
 
Wakuu Habari? Mimi ni kijana wa miaka 39 ambaye ni baba wa watoto 6(wote wasichana.

Nimetafuta mtoto wa kiume kwa muda mrefu bila mafanikio. Nampenda mke wangu na nisingependa kuowa au kazaa na mwanamke mwingine. JF inatusaidia kupata ushauri wa bure. Naombeni mnishauri nifanyeje kwani nilipanga kuwa na watoto watatu, leo na watoto 6 kwasababu hitaji langu bado halijakamilika.

Naomba ushauri kwani nimepata ushauri wa kitabibu bila mafanikio.
 
Anaye-determine kupata mtoto wa kiume ni mwanaume ambaye ndiye mwenye Y chromosome. Hata ukioa au kwenda na mwanamke mwingine kama hukutoa hiyo utaoa na kuacha kila siku. Mshukuru Mungu kukupa hao watoto ulionao, hutajuta
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom