Mwanamke ana mbegu(Chromosomes) za aina moja ambazo ni XX wakati mwanaume anazo za aina mbili ambazo ni XY, wakati mwanaume anatoa mbegu kwenda kwa mwanamke X na Y hutoka kwa pamoja lakini X ndiyo huwa na spidi zaidi kuliko Y. Kwahiyo kama mbegu hizo za mwanaume X ndiyo itatangulia kurutubisha yai basi utapata muungano wa X ya mwanaume na X ya mwanamke na kufanya XX na hivyo mtoto atakuwa wa kike. Ikiwa wakati wa urutubishaji Y ndiyo itawahi kurutubisha yai basi utapata muungano wa XY na hivyo utapata mtoto wa kiume.
Sasa kama nilivyosema katika X na Y za mwanaume X ndiyo huwa na spidi zaidi kuliko Y, sasa ili kuiongezea spidi Y ni lazima mwanaume ujiandae ikibidi hata mwezi mmoja kabla, ule vizuri, ufanye mazoezi ya kutosha na usifanye hilo tendo mara nyingi ili uwe na nguvu za kutosha kuifanya Y iizidi nguvu X. Hii ndiyo sababu watoto wengi wanaozaliwa ni wa kike kwa sababu wanaume wengi wanamatatizo ya nguvu hasa miaka ya hivi karibuni.
Sasa wakati mwanaume anafanya urutubishaji mbegu zake hutoka spidi kubwa na ndefu kulitafuta yai kwenye mirija yake, sasa kwanini tunashauri iwe ni karibu na siku za mwanamke? Ni kwa sababu yai la mwanamke mpaka kufikia kupevuka na kupasuka huwa linasafiri taratibu na siku 1 au masaa kadhaa kabla ya hedhi yai huwa karibu kabisa na mlango hivyo kuzipunguzia mbegu za mwanaume zisisafiri umbali mrefu kulifikia yai na hivyo kuongeza uwezekano wa Y kutochoka njiani kabla ya kupitwa na X.
Maelezo mengi lakini unampotosha mtu wa watu,kama hujui sema sijui.
Y inasipidi naturally kwa kwaajili ya mtoto wa kiume afanye mchezo siku ya 13-14 ya mwanamke itakuwa imefika kwenye yai kabla ya x na kufunga mlango kazi kwisha