Tangotango
Member
- May 19, 2013
- 43
- 5
Majanga!ungeuliza tu ufundishwe..sio kulisha watu sumu.
siku ya tatu yai la kike linakua halina nguvu hivyo yai la kiume ndio lina tawala usichanganye imani na sayansi ni sawa na maji na mafuta
mi wakiume nimesahau kuweka nukta hapo kuna mtu kaniuliza nina maana ya breed au bleed nikamwambia ni hedhi basi
Kumbe u mweupe hivyo.....
ndugu jaribu kuwa makini unasema siku ya tatu yai la kike linakua halina nguvu hivyo yai la kiume ndio lina tawala ,wewe unafikiri yanatoka mayai mangapi kwa mwzi mmoja ,sikia ndugu ni yai moja tu na ni mara chache yakapevuka mayai mawili kwa mwezi mmoja .siku ya tatu yai la kike linakua halina nguvu hivyo yai la kiume ndio lina tawala usichanganye imani na sayansi ni sawa na maji na mafuta
siku ya tatu yai la kike linakua halina nguvu hivyo yai la kiume ndio lina tawala usichanganye imani na sayansi ni sawa na maji na mafuta
siku ya tatu yai la kike linakua halina nguvu hivyo yai la kiume ndio lina tawala usichanganye imani na sayansi ni sawa na maji na mafuta
Kwanza inabidi siku hiyo uwe na nguvu za kiume za kutosha, Pili unatakiwa uvizie masaa kadhaa kabla hajaanza siku zake kwakuwa siku hiyo yai lake huwa lipo karibu kabisa