Jinsi ya kupata GPA kali, kuepuka supplementary na jinsi ya kutodisco chuoni.

mengi yameshasemwa...
naomba nitoe angalizo moja, usiotee sana kubakizwa chuoni (though hilo laweza kutokea) coz isipotokea unaweza kuwa frastrated kimtindo, we piga shule upate GPA nzuri.

N.B: Mtu akimaliza Bachelor akibakizwa chuoni anaanza kwa kuwa Tutorial Assistant na sio Assistant Lecturer
 
Rules of the Game;
1. Understand what you are for, and for Who.
2. Try to pull yourself even when you are feeling uncomfortable.
3. Concentrate on reading.
4. Focus on assgnments, quiz,.
5. Be confident on what you are doing, and believe in yourself.
6. Have a good relation with your college-mates.
7. Epuka anasa joh.
8. Mkumbuke Mwenyezi Mungu na mweke awe wa kwanza katika kila utakalolifanya, I hope utafanikiwa.
 
kaa BACK BENCH. Mara nyingi material yanayorushwa na lecturers wa ukweli huangukia vichwani mwa back benchers. And be confident.
 
Rules of the Game;
1. Understand what you are for, and for Who.
2. Try to pull yourself even when you are feeling uncomfortable.
3. Concentrate on reading.
4. Focus on assgnments, quiz,.
5. Be confident on what you are doing, and believe in yourself.
6. Have a good relation with your college-mates.
7. Epuka anasa joh.
8. Mkumbuke Mwenyezi Mungu na mweke awe wa kwanza katika kila utakalolifanya, I hope utafanikiwa.

hapo hata mm nime gain k2,shukrani God be b4 u.
 
Rules of the Game;
1. Understand what you are for, and for Who.
2. Try to pull yourself even when you are feeling uncomfortable.
3. Concentrate on reading.
4. Focus on assgnments, quiz,.
5. Be confident on what you are doing, and believe in yourself.
6. Have a good relation with your college-mates.
7. Epuka anasa joh.
8. Mkumbuke Mwenyezi Mungu na mweke awe wa kwanza katika kila utakalolifanya, I hope utafanikiwa.
thanks alot...mawazo mazuri!!!
 
kaka Mungu akubariki sana. Take 100 likes
 
hapa naouna usani kwa mbaaaaaaaaaali, but miruzi mingi.....................................

kwa hiyo signanture.

alafu epuuka sana kupoteza muda kwenye migomo, usikose kipindi hata kimoja arasani, kuwa mkimy kimya (acha kuropoka na kupenda umaarufu), soma sana recommended readings, fanya assignments kwa uaminifu, kuwa na muda mchache wa discussion, fanya group assignments kama individual. Hapa utakua unaelewa so hadi kipindi cha pepa haitahitaji kusoma saana.
 
Ndugu zangu wote waliopata mkopo na wale waliokosa kwanza kabisa nipende kwa pamoja sote tumshukuru Mwenyezi Mungu kwani ana mipango na sisi wanadamu aijalishi umepata mkopo au la. Basi ndugu zangu bila kuwachosha nilete yangu yalo moyoni na atakayeweza kunipa mawazo, maoni na msaada mwingine naomba atupie hapa. Mimi ni kijana niliyezaliwa katika kijiji kidogo nikiwa mtoto wa 17 kati ya watoto 30 wa baba yangu nikimaanisha kuwa kuna wakubwa zangu wasio na uwezo mzuri kiuchumi 16 na wadogo zangu ambao pengine wananitegemea 12. Kutokana na hali hiyo ya familia niliamua kukimbilia kutafuta elimu ambayo itakuwa ni mkombozi kwangu na hata familia na jamii kwa ujumla. Basi kwa neema ya Mungu nilifanikiwa kufaulu kidato cha nne kwa kupata dalaja la kwanza (16 ) na baadae kujiunga kidato cha tano na cha sita nikafaulu kwa dalaja la kwanza (9) basi kama ilivyo furaha ya wengi hata mimi mwenzenu mimefanikiwa kuchaguliwa Bachelor of science in nursing university of Dodoma na kupata mkopo 4,032,500/= lakini baada ya kusikia kuwa mtu anapopata GPA kali mfano 5 inakuwa ni lahisi kutoka kielimu na pengine kubakizwa chuoni kuwa assistance lecturer nimekuja kwenu wa jf na great thinkers muweze kunipa/kutupa mawazo au ushauri sisi sote ili kuepukana na supplementary, kuto disco na hatimae kupata GPA kali hili kuweza kukomboa familia kama yangu na zaidi kupata elimu ambayo itakuwa ya manufaa kwa jamii na wala si elimu ya kukariri ukizingatiwa nitadili na afya ya binadamu. ASANTE KWA KUNISIKILIZA , NAKARIBISHA MAWAZO/ Ushauri WENU.

fu epuuka sana kupoteza muda kwenye migomo, usikose kipindi hata kimoja arasani, kuwa mkimy kimya (acha kuropoka na kupenda umaarufu), soma sana recommended readings, fanya assignments kwa uaminifu, kuwa na muda mchache wa discussion, fanya group assignments kama individual. Hapa utakua unaelewa so hadi kipindi cha pepa haitahitaji kusoma saana.
 
Point of correction: Ukipata GPA nzuri na kubakizwa chuoni utaanza kama Tutorial Assistant and not Assistant Lecturer. Hiyo ni hatua yapili na nimpaka upate Masters Degree ndio uwe Assistant Lecturer. Harafu, kwa mshahara wa lecturer, usitegemee kuwa hata ukiipata hiyo nafasi ndio utakuwa mkombozi wa familia kubwa kiasi hicho. Sana sana utaishia kugombana na mke utakayemuoa. Labda umpate mbumbumbu wa kijijini kwenu na uhakikishe haumpeleki mjini. Awe anaishi huko huko na wewe uwe unamtembelea tu kwani pesa ya familia siyo yako na ndugu zako 30 bali ni pesa yako, mke wako na watoto mtakaowazaa. Ndugu zako hawana haki kubwa kiasi cha wewe kujifanya mkombozi wao tena kwa kipato kidogo kama cha lecturer. Utakapowapatia ni msaada tu na msaada usizifi uwezo. Kwa taarifa yako, mshahara wa tutorial assistant katika vyuo vyote Tanzania hauzidi take home ya 1.2m na sehemu nyingine nyingi ni chini zaidi ya hapo. Kwa kipato kama hicho, Dar utaishia kuishia kupanga vyumba viwili au vitatu na siyo nyumba nzima kwani ni pesa ndogo sana. Sahau kuhusu kununua gari mpake upewe mkopo, tena ukijifanya mkombozi wa famila kubwa kama hiyo ndio sahau kabisa kwani watakujazia watoto wao kwako mpaka budget ya kula tu kwasiku ifike 30,000, kiasi ambacho ni zaidi ya uwezo wako.

Usione ninatoka nje ya ushauri ulioomba kwani ukienda chuo ukiwa na mawazo ya kuikomboa familia kubwa kiasi hicho ni hakika hautafanikiwa na sana sana utaishia kuiba tu kwani hakuna mfanyakazi anayeweza kuikomboa familia kubwa namna hii. Wasiwasi wangu ni kuwa utaishia kuwa-frustrated kwani kila kazi utakayopata haitakidhi mahitaji yako kifedha na ukitaka kuoa mke utakayelingana naye kiuwezo na kielimu basi ataishia kulogwa na watu wa kwenu kwani watamuona mtoto wa watu, mwenye mawazo ya kileo ni kama ndio kiwazo kwa wao kupata masaada kwa ndugu yao aliyesoma ambaye naye kimsingi ni masikini.

Otherwise, allow me to remind you that hard work is the only sure path to self advancement. There is no substitute to hard work. Know your lecturers and school how they want you to respond to their questions. Avoid ill companies and do what the institution wants you to do. Make sure you do not do what your mind tells you to do. In everything, remember that you are coming from a poor background and that your decisions and actions today are a stepping stone for your kids tomorrow. It is either you spoil their future just like the way your father did to you or you build theirs so they live a life that is different from what you lived in your childhood days. I hope this helps.
 
nimepewa ushauri mwingi na karibu wote ni kweli na mzuri lakini huu umekuja na kitu cha tofauti kweli familia yetu ni kubwa sana hata kuna wakati nafikilia mawazo uliyoyatoa kama kweli ntafikia ukombozi huu ila naomba kupewa ushauri zaidi kwani hata nikikaa kivyangu vyangu sitakuwa na na amani.
 
GPA ni kama fedha - ni ngumu kuipata lakini ni rahisi kuporomoka. Maana yake kama walivyosema wachangiaji persistence and endurance vinahitajiwa toka siku ya kwanza hadi ya mwisho, ceteris paribus. Chunga sana vipindi vyenye credit hours nyingi - ukivizembea GPA nzuri utaisikia redioni. Haina maana kuwa yale ya credit hours kidogo upuuzie - la hasha. credit hours ni kama mlima vile - the steeper the more energy required
 
NA ILI UWE TUTORIAL ASSISTANT NI LAZIMA UWE NA GPA YA KUANZIA NGAPI ,MANAKE KUNA VYUO VYOTE VYA UMMA(SUA,MUCCoBS,UDSM,UDOM) WANASEMA MPAKA UPATE KUANZIA UPPERSECOND CLASS YA KUANZIA 3.8 ,TUFAHAMISHENI ILI TUJUE VIZURI
 
Na jee vipi hivi vyuo kama tumaini ambvyo wanagawa ma gpa makubwaaaa mpaka 4.8 halafu huyo mtu aliyepata hiyo gpa ya 4.8 yaani ni kilaza anaweza kubakizwa hapo tumaini?
 
gpa ya 5??? Kwanza chuo cha dodoma sidhani kama kina tendency ya ku-retain best students,but hopefully wataanza kipindi chenu. Muda mzuri wa kusoma ni kuanzia saa kumi usiku mpaka saa kumi na mbili asubuhi hivi sababu akili inakua imetulia bila mawazo wala stress coz ndio kwanza umetoka kuamka, pia mazingira yanakua yametulia kwa ujumla. Dawa ni kukazana kusoma,na utajua kuwa unasoma the more unavyohisi kuwa mambo ni mengi. Mara nyingi ukiona kitabu hakijabana basi ujue you are not doing your best!!the more unavyosoma the more unavyogundua kuwa kuna vitu vingi vya ku-cover and vice versa. Ni vizuri kuwa na ndoto za hivyo mapema zitakusaidia ku-perform vizuri. Dunia hii ya ushindani inawezafika siku hata kazi sehemu nyingine wakaangalia ufaulu wako kwanza then kuchanganua mengine, may be. Panga ratiba from day one.hakikisha unaipitia topic aliyofundisha mwalimu siku hiyo(vizuri) kwa kupitia notes zake na kusoma other references zinazohusika kila baada ya kipindi. Soma kila unapopata muda but zaidi panga ratiba ya kulala mapema(by saa nne or tano) na kuamka saa kumi. Hicho ndicho kimenisaidia kupata a average kwenye masters.

good helpful
 
Back
Top Bottom