Jinsi ya kupata file au software iliyopo kwenye file storage sites kama hotfile, rapidshare na wenza

Paje

JF-Expert Member
Apr 24, 2010
1,185
455
KUNA search engine nyingi, lakini sijaiyona nzuri zaidi ya hii. inakupa kila kitu. upande wa kushoto unachagua tu file ambalo unasearch litoke kwenye web storage gani kama mediafire, rapidshare, zshare, hotfile, depositefile na nyingi nyinginezo. inakupa link papo kwa papo, ukipata link tumia ujanja wako kudownload jaribu savefrom.net au tumia skipscreen (google for it, it works but try the last version)

Rapidshare search engine - Search files hosted on rapidshare

hiii link itakupatia file au software uipendayo

au ukipenda unganisha maujanja jaribu kusoma hapa chini
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...alimbali-megaupload-mediafire-rapidshare.html
i hope ita help
 
mkuu sasa vipi kuhusu hizi username na password za hotfile na rapidshare ili tu download fasta
 
ukitumia savefrom.net huhitaji username wala password. na download inakuwa ni faster, inaweza kuwa resumed na advantage zote za premium user unazipata. ila limit ni 100MB per file. lakini ni unlimited number of times unaweza kudownload upendavyo mara utakazo.
kama unatumia idm utaliona hilo. multiple link na simutanous downloads are all possible
 
Back
Top Bottom