jinsi ya kuongeza unene msaada

Mkuu Duduwasha Junk food Vyakula feki hivyooooooooooooooooo
Feki kivipi? Mkate ni Ngano,Kuna Nyama,onion,hoho,salad,Tomatoes na vitu vingu iweje iwe ni fake? wacha propaganda za kuwafanya watu wasinenepe kupita kiasi kwa junk food.... haya makitu yapo juu hata uweke kampeni dunia nzima watu hawatoacha kula maana kuna full vitamin mule wanga na kadhalika
 
Mkuu Duduwasha Mimi sikatazi Mtu kunenepa mimi nimesema ile picha uliyoweka ni Junk food sikusema ( Ngano,Kuna Nyama,onion,hoho,salad,Tomatoes) Nilichosema kile ulichokiweka Mkuu dogodogo Duduwasha.

images

images

images

images

images

duduwasha huyu...........
images

images
 
Back
Top Bottom