Kula hovyo hovyo bila mpango nayo inasaidia
nisaidieni kwa hilo wakubwa
Mkuu.@kirama00 Kabla sijakupa ushauri wangu wewe kuwa mnene nauliza maswali yangu ninakuomba unijibu una miaka mingapi? una kilo ngapi? Je wewe ni Mke au mume?Umeowa au umeolewa ?ninaomba unijibu ndio ninaweza kukupa ushauri ili uweze mnene asante.
nisaidieni kwa hilo wakubwa
Pata vyakula vyenye mafuta kama nyama ya mafuta,kula ngozi ya nje ya kuku,blue band,uji wa ulezi etc
nisaidieni kwa hilo wakubwa
Mkuu manoah mbona unanichanganya kuhusu umri wako? unasema una umri 25-31 ? nikuelewe vipi wewe? mimi nina umri wa miaka 48 nina kilo 88 ninatakaMziziMkavu hata mie nataka niwe mnene mkuu.Mie nina 65kg.Umri 25 - 31 years. Ni mwanaume.Sijaoa ila nipo na mpango wa kuwowa..
Mkuu Duduwasha Junk food Vyakula feki hivyooooooooooooooooo
Mavyakula kama haya