Jinsi ya kuongeza sauti kwenye computer

prakatatumba

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
1,328
190
WanaJF ninalaptop HP 510 ilikuwa na window7 ultimate na sauti ilikuwa poa na ya juu nikaiformat nikaweka tena window7 ultimate but sauti imekuwa chini mpaka usogeze sikio kwenye speaker ingawa speaker volume ipo juu.
NAOMBA KAMA KUNA JINSI NINAWEZA KUBOOST IWE JUU NAOMBWA KUJUZWA AU KAMA KUNA PROGRAMS ZINAWEZA KUBOOST NIAMBIE NIZIDOWNLOAD..
 
Jamani hata kama ndo jukwaa la technology, kweli ndo tuulizane jinsi ya kuongeza sauti? Sitashangaa mtu atakapokuja kuuliza jinsi ya kubonyeza ENTER kwa sababu kabadilisha keyboard halafu hii ya saa hivi mpaka ubonyeze sana.
No offence.
 
Back
Top Bottom