Kwa uzoefu wangu nilioupata kuhusu ebay kwa hapa bongo tatizo la kwanza ni jinsi ya kufanya malipo kwa paypal.
Mimi nilikuwa na kadi ya kawaida ya nbc nikaambiwa lazima niwe na visa, na baada ya kupata visa bado nilitakiwa nijirejista na mlolongo mrefu nikachemka.
ilibidi nimtumie mdogo wangu kwa western union poland kisha akaziingiza ktk acc yake akafanya malipo ndio mzigo ukatumwa kuja bongo ukitokea hong kong,ilikuwa ni lcd screen+tools ya sonyericsson, sikutozwa kodi.
Swala la kutuma afrika au wapi ni swala la seller mwenyewe, na maranyingi ktk description wanaeleza kabisa kama wanatuma word wide au sehemu flani tu,
Matatizo ya afrika ni kuwa posta zetu wanaweza kuiba mzigo.
Swala la kodi nadhani linategemeana na ukubwa wa kitu.
Pia naona kunavitu wapo cheap sana mfano hiyo lcd touch screen nilienda kwa wahindi posta pei yao ilikua 150,000 wakati mimi nimeinunua ebay dola 10 plus dola 2 ya usafiri na mzigo ulifika ndani ya wiki mbili