Jinsi ya kumuona mchawi kama wewe si mchawi kwa kutumia limao

Marehemu babu alinipa dawa unaisaga unaipaka kwenye macho unakuwa unawaona wachawi laivu kabisa siku moja nilipaka nikaenda mjini nilishindwa kuvumilia kama si kuzindikwa wale wachawi wangenimaliza sema tu nilikuwa njema ila niliona vitu vya ajabu sana ilibidi nikimbie kurudi nyumbani nikamweleza babu akasema tatizo nilikuwa nashangaa mno inatakiwa uwe unaona kwa wizi wasishtuke
 
Aise
Mkuu mbona hiyo kazi ndogo tuu. Mtafute mtu kutoka kabila moja dogo sana linaitwa "MUarusha chini". Atakumalizia shida zako. Utamkuta kagandia hapo hapo ila, huruhusiwi kumdhuru, unampikia ugali, ale ashibe aende kwao. Baada ya siku 3 utaona atakachofanzwa.
 
Vipi dawa ya kukimbiza PANYA WATU JAMANI

MAANA KWETU KILA UKIWEKA DAWA WANAKULA WADOGO WAKUBWAA WANAPITA JUU KAMAA WATU ..DAWA YA KUWAONDOA SIOKUWADHURU NAOMBA
 
Kama umepanga utupe humo nje au room, na je zikimchoma mtu si tetanus hio tena..
 
Afadhali hilo, huko Tukuyu kuna kijana aliuwawa kwa sababu wanaamini mazao yake yanastawi vizuri kwa sababu anatumia uchawi.
Kutokana na bidii yake alifanikiwa kujenga nyumba hapo Kijijini, balaa likamfuata, wakamuua.
Yaani hizi imani za kishirikina zimetukaa sana, sijui tutaacha lini.
 
Back
Top Bottom