Jinsi ya kumuona mchawi kama wewe si mchawi kwa kutumia limao

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
690
350
Wengi huita uchawi, ulozi, ushirikina. Una majina mengi sana. Ni sayansi ya kiafrika na ya kufikirika zaidi kama hujawahi kukutana nayo.

Wengi huwa wanajiuliza, inawezekana vipi mtu akamwona mchawi huku yeye si mchawi? Ni rahisi sana.

Ni elimu kama ilivyo na ktk jitihada zangu za kusaka maarifa nikakutana nayo nchi moja kaskazini mashariki mwa Afrika nikaelezwa mbinu hii.

chukua limao 7, na sindano 7 za kushonea nguo, hapo unakuwa umemaliza.

Unachukua limao unachoma kwa sindano ila sindano isizame, na iache usichomoe.

Fanya hivyo ktk limao zote 7, kisha tupa limao zote zenye sindano uwanjani/sehemu yoyote ya wazi.

Hapo kila mchawi atakayekatiza anga hizo utamwona akiwa uchi na ana macho manne hata kama uchawi kauacha nyumbani


"kutafuta maarifa hakuna mwisho".
 
I wish nijaribu hii.

(a) Je kuna madhara gani nayoweza kuyapata kwa kumuona mchawi?

(b) Je namuona kwa namna gani, ananasa na kumkuta hapo kasimama/kaganda hajitambui? Au
nitamuona usiku akiwa katika 'mishe' zake kabla hajasepa?

(c) If YES to the B above, so inabidi nikeshe macho kumsubiria ili nimuone?

(d) Nikimuona, nae ananiona ?

Ama kweli Technologia ya mbantu haina gharama.
 
Mkufunzi, ilim yako naona ina vijikasoro kidogo. Eleza vizuri tu wala usiwe na haraka/ Hii kitu weye mwenyewe ulishafanza??? Ulimfanyaje ulipo mwona? Mishe zake zilikuwa ni kuja kwako au alipoteza mawasiliano? Nitakaa nje saa hizo ili nimwone au atanasa?? Naomba, tulia, eleza vizuri ilim yako iwasaidie wenye kiherehere
 
I wish nijaribu hii.

(a) Je kuna madhara gani nayoweza kuyapata kwa kumuona mchawi?

(b) Je namuona kwa namna gani, ananasa na kumkuta hapo kasimama/kaganda hajitambui? Au
nitamuona usiku akiwa katika 'mishe' zake kabla hajasepa?

(c) If YES to the B above, so inabidi nikeshe macho kumsubiria ili nimuone?

(d) Nikimuona, nae ananiona ?

Ama kweli Technologia ya mbantu haina gharama.
Ukishafanikiwa uje kusimulia
 
Mcheza Karate,

Me nataka ulozi wa kumkomoa mwizi, hasa hawa vibaka wa usiku. Ulozi wa kumtia adabu mpaka anarudisha vitu vyangu. Hapo vipi mkuu?

Sisi tuliopanga uswazini tunapatwa na kashkashi nyingi sana mida ya usiku. Hawakii kukata nyavu na wakalamba mazaga yote. Teh teh

CC: mshana jr


Mkuu mbona hiyo kazi ndogo tuu. Mtafute mtu kutoka kabila moja dogo sana linaitwa "MUarusha chini". Atakumalizia shida zako. Utamkuta kagandia hapo hapo ila, huruhusiwi kumdhuru, unampikia ugali, ale ashibe aende kwao. Baada ya siku 3 utaona atakachofanzwa.
 
Back
Top Bottom