Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
368
155
MWANAMUME yeyote anapotaka kumtongoza mwanamke hulazimika kwanza kumwonesha japo kwa matendo kuwa anampenda, au kwamba amevutiwa naye, hata kama ni kimwili tu.

Hatua hii ndiyo yenye changamoto kubwa zaidi kwa mwanamume, maana ndipo wakati anapokuwa anajaribu kufikisha ujumbe kwa mlengwa huku yeye mwenyewe akijihakikishia kuwa haharibu mambo. Mwanamume anapokuwa anajaribu kufikisha ujumbe wa "nakupenda" kwa mwanamke, mapigo ya moyo yanaweza kumwenda mbio, hususan kama mwanamke mwenyewe anaonekana kuwa "maji marefu". Hata hivyo, ni kazi ambayo kila mwanamume hulazimika kuifanya.

Kazi hii ya kufikisha ujumbe kwa mara ya kwanza huhitaji umakini. Bahati njema, shughuli yenyewe ina sayansi yake, ambayo ina misingi katika mahusiano ya kijamii. Ukifahamu sayansi hii inaweza kuwa rahisi zaidi kwako kufikisha ujumbe kwa mtarajiwa wako na kufanikiwa.

1. KUKUTANISHA MACHO NI MUHIMU
Kawaida, mambo yote huanzia na pengine kuishia katika kukutanisha macho. Mwanamke atakapobaini kuwa hujajaribu kumwangalia japo kwa sekunde mbili mfululizo, ataondoa mawazo na hisia zake kwako hata kabla hujasema neno lolote.

Macho ndizo zana muhimu zaidi mtu anapokuwa anataka kufikisha ujumbe kwa mwenzake kuwa anampenda, au amevutiwa naye. Hii ni kwa sababu macho ndiyo vipitisho na visambazaji muhimu vya ishara baina ya mtu na mtu, hata kama si katika masuala yanayohusiana na mapenzi.

Kukutanisha macho na mtu wa jinsia nyingine unayevutiwa naye au anayevutiwa nawe ni jambo lenye nguvu za ajabu katika kuanzisha uhusiano. Kwa sababu hiyo, hata unapofanikiwa kumtazama moja kwa moja machoni mwenzako hutarajiwi kutumia zaidi ya sekunde mbili, kutokana na nguvu iliyomo katika mawasiliano haya.

Katika hili, wanaume mahiri hufahamu ni wakati gani wa kumwangalia mwanamke na ni wakati gani wa kutomwangalia. Mara nyingi, ni vizuri zaidi kumwangalia zaidi mwanamke wakati anapozungumza, huku ukikwepesha macho kidogo pale unapozungumza wewe.

2. UNATAKIWA UWIANO, UKWELI KATIKA MAZUNGUMZO
Ni jambo lisilopingika kwamba wanaume na wanawake wanatofautiana katika maana ya dhana ya mawasiliano. Hata hivyo, bado inawezekana kuendesha mazungumzo shirikishi na yenye kuburudisha ukiwa na mwanamke, bila kuonekana wa bandia.

Watu wa jinsia zote mbili wanaweza kutuhumiwa kwa kupindisha ukweli na kujaribu kuficha tabia na mienendo yao wanapozungumza na wapenzi watarajiwa. Naam, katika mazungumzo ya kwanza baina ya wapenzi au wachumba watarajiwa uwongo ukiwemo ule usiotarajiwa huwa mwingi.

Katika mazungumzo ya kwanza ni kawaida kwa mwanamume kubadilisha matendo yake na mtindo wake wa kuzungumza kwa maslahi ya kumpata mwanamke, jambo ambalo huifanya hulka yake ya wakati huo kuwa ya bandia. Lakini pia wasichana/wanawake husema "Nakupenda" bila kumaanisha, pengine kwa ajili ya kumfurahisha mwanamume, au kusikia mwanamume atasemaje.

Jambo la muhimu katika mazungumzo ya awali baina ya mwanamume na mwanamke ni kuepuka michezo ya kudanganyana na kukwepana, badala yake, yafanye mazungumzo kuwa rahisi na halisi. Hapo ndipo mwanamume hujitofautisha na wanaume wengine na kupendwa kwa sababu hiyo.

3. USIPUUZE NGUVU YA LUGHA YA MATENDO
Wakati mtu anapokuwa akijaribu kuwasilisha ujumbe wa "Nakupenda" kwa mwenzake, lugha ya matendo yake huzungumza kwa sauti kubwa zaidi kuliko maneno yake. Hili limeweza kuthibitishwa kwa nyakati mbalimbali kutokana na tafiti mbalimbali.

Katika muktadha wa kujaribu kufikisha ujumbe wa "Nakupenda" kwa mlengwa, lugha ya matendo ndiyo yenye nafasi kubwa zaidi. Kwa hakika, asilimia kubwa ya ujumbe unaowasilishwa kwa mlengwa huwasilishwa kwa njia ya matendo ya mwili na si maneno. Ni asilimia ndogo tu ya ujumbe inayowasilishwa kwa maneno na wakati mwingine maneno huweza kuleta matatizo maana katika kuzungumza kuna kujikwaa kwingi, kwani ulimi hauna mfupa.

Ili uweze kufanikiwa katika kueleza nia yako kwa mwanamke, lazima ujue jinsi ya kutumia lugha ya matendo yako. Na pengine hutatumia nguvu, maana watu husema penzi kikohozi kama unalo litaonekana tu machoni pa mlengwa.

Ukitafakari kwa makini utabaini kuwa huhitaji kusema sana ndipo uweze kupendwa, kwani maneno huchangia asilimia kidogo tu. La muhimu ni kuhakikisha kuwa mlengwa wako anakusoma na kukuelewa vizuri kwa kuangalia matendo ya mwili wako.

4. ACHA ASILI ICHUKUE MKONDO WAKE
Katika nadharia mbalimbali za kijamii na kidini ni jambo la kawaida kusikia kuwa binadamu wote ni sawa. Hata hivyo, katika muktadha wa kimapenzi, kila mtu mmoja mmoja anafahamu kabisa kuwa si kila mwanamume/mwanamke ni sawa na mwenzake.

Methali yenye asili ya kimagharibi husema "Uzuri wa mtu uko katika macho ya yule anayemtazama." Hii ina maana pia kwamba, kila mtu anavyo vigezo vyake vya uzuri kwa kuzingatia maumbile yake. Pia jamii zinavyo vigezo vya uzuri, lakini hutangulia kwanza vigezo binafsi.

Unapokuwa umekaa na mwanamke ambaye anakuvutia kwa mwonekano wake, sauti yake na kadhalika, si rahisi sana kujizuia kuonesha kuwa anakuvutia. Hii ni kwa sababu si wewe, bali ni nafsi yako inayokusukuma. Na yeye mwenyewe atakusoma kwa kuangalia lugha ya matendo yako na kukwelewa, utakaobaki ni uamuzi wake tu.

Katika jamii kuna vigezo kuhusiana na kiuno, miguu, maziwa, makalio na kadhalika. Wengi wa wanajamii huvizingatia na kuongeza vyao. Huu ni ukweli wa kibiolojia ambao hauwezi kupingika. Mwanamke mwenye vigezo vinavyokubalika zaidi katika jamii yake atawavutia wanaume wengi zaidi. Hapa mwanamume hahitaji kutumia nguvu nyingi asili ya maumbile itamsaidia humtambulisha mwanamke kuwa amempenda.

5. TUMIA CHANGAMOTO YA WALAKINI
Mara nyingi changamoto kubwa katika suala zima la mtu kubainisha nia yake kwa mwanamke hutokana na ukweli kwamba katika mchakato mzima huwa kuna wasiwasi na walakini. Kwa hakika, jambo hili ni la "pengine" au "labda" kutokana na kutoweza kufahamu kirahisi mwenzako anawaza nini.

Unapoonesha nia yako ya kumpenda mwanamke, ni kama unaamsha hisia zake kwako na ni kama vile unamuuliza: "Ungependa kuwa nami?" Kwa njia hii ni kama utakuwa unafungua mlango wa kupata jibu la "ndiyo" au "hapana" kwani huyo unayemwonesha kuwa unampenda na yeye ana matakwa yake na mapendeleo yake.

Kimsingi hakuna kanuni wala sheria rasmi unazopaswa kuzingatia wakati wote. La muhimu ni wewe mwenyewe kujiachia na kuingia katika maji usiyofahamu kina wala mwisho wake, bali wewe nenda na mkondo wake huku ukitarajia kuwa lolote linaweza kutokea. Hiyo ndiyo sehemu ya raha yake.

6. DHIBITI HISIA, MIHEMKO
Tofauti na mwanamke, mwanamume anayejaribu kuonesha nia yake hatakiwi kujiweka katika mkao wa mwanamitindo. Wanawake ndio hufahamika zaidi kwa mikao yao "ya kula" wanapokuwa katika mawindo (japo wengi hubisha), lakini si mwanamume. Wanawake ndio hutarajiwa kujieleza zaidi kwa njia ya matendo na mikao, lakini wanaume hutarajiwa kudhibiti hisia na mihemko yao.

Tofauti katika lugha ya matendo baina ya watu wa jinsia mbili hutokana na maumbile ya kujenetiki pamoja na utamaduni wa jamii husika. Yote yakizingatiwa, matakwa ya mwanamke ndiyo hupewa kipaumbele zaidi. Kwa ufupi, matendo ya kutongoza ya mwanamke huwa wazi zaidi, lakini mwanamume hulazimika kuficha hisia na mihemko yake.

IFAHAMU SAYANSI HII
Wajibu wa kufikisha ujumbe kwa mtu wa jinsia tofauti ni wa kila mmoja mwanamume na mwanamke. Hata hivyo, wanaume ndio wenye jukumu kubwa zaidi la kuanzisha, kwa kuzingatia utamaduni wa jamii nyingi. Unaweza ukaona ugumu, lakini ipo sayansi itakayokusaidia. Kama una wasiwasi na uwezo wako, ni vizuri kuyazingatia yote yaliyobainishwa hapa.

Chat up.jpg


MICHANGO YA WADAU WENGINE
Njia 10 utakazozitumia ili kuhakikisha humkwazi mwanamke unayempenda mnapokuwa katika mazungumzo

View attachment 129912
Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote.

Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe mwanaume ili kuhakikisha humkwazi mwanamke unayempenda mnapokuwa katika mazungumzo ;

1. Wakati ukizungumza nae, jaribu kuzungumzia "hisia" kama vile kumbu kumbu yako ya utotoni, matarajio ya baadae au matamanio yake. Mada hii ya mazungumzo yenu yatafungua milango ya hisia zake ghafla.

2. Wanawake huhitaji mwanaume asiyekuwa na uoga wa kuwamiriki na kuwaongoza. Wakati unazungumza na mwanamke tawala mazungumzo yenu na kamwe usimpe nafasi ya yeye kuanza kufikiri kuwa nini ulichokuwa ukizungumzia.

3. Kuwa makini wakati unapokuwa ukizungumza nae huku akikupatia majibu yasiyo na hisia zozote za mapenzi. Hapo utajua kunakitu, hivyo kama kwa bahati mbaya uko nae karibu kiasi cha kugusana, basi jisogeze pembeni wakati ukiwa unaendelea kuongea ili asishtukie au unaweza kumuona hayuko sawa katika utoaji majibu.. kwa kawaida atakuonyesha ishara, hivyo kuwa nazo makini.

4. Kumbuka hii kauli mbiu "Ucheshi/vituko si mapenzi". Wanawake huvutiwa sana na wanaume wanaoweza kuwafanya wawe na furaha muda wote. Usijikite zaidi katika kufanya utani unaopita kiasi na kusahau ulichokuwa unaongea. Bali jikite zaidi katika mambo yanayomfanya ajisikie kuwa na msisimko na starehe wakati ukonae.
5. Zama katika undani wa mazungumzo baina yako na yeye. Mwanamke huendana na mwanaume asiyekuwa muoga wa kuzungumzia mambo binafsi kwa ukaribu.

6. Wanawake wengi hupenda kujua maoni yako kuhusiana na jinsi unavyomuona. Mwambie vitu unavyoviona kutoka kwake, lakini jaribu kuwa makini ili usitamke vitu vingine vitakavyo msababishia apoteze furaha.

7. Epuka kumpa ofa nyingi mwanamke, mwanamke huwa na mashaka na mwanaume anayempatia vitu vingi kwa wakati mmoja ama kila mara. Kwasababu atafikiri vitu unavyompatia ni kutaka kumvutia tu ili umpate kiurahisi. Kitu ambacho baadae kitaleta madhara makubwa.

8. Kama unahitaji kujua njia nzuri ya kuweza kuongea na mwanamke au msichana bila kumfanya asikudharau au kuboreka, basi usitumie njia ya kumuuliza maswali mengi katika mazungumzo yenu. Bali jaribu kueleza mawazo yako kuhusu vitu flani.

9. Kumbuka kauli juu ya kuuliza maswali: Badala ya kumuuliza "wewe umekulia wapi?", uliza "unaonekana kama hujakulia maeneo haya!" Hii itakusaidia wewe kufanya uchunguzi juu yake bila yeye kujua.

10. Usifiche utambulisho wako - zungumza vitu kutoka katika hisia zako, onyesha uhalisia wako katika kuzungumza na usitumie mikogo ya mtu yeyote.

Njia bora ya kufikiria jinsi ya kuzungumza na mwanamke, ni kutambua njia sahihi ya mazungumzo ya furaha na yakimahaba utakayopenda kuitumia, isipokuwa usimuige mtu. Kuzungumza na mwanamke sii vigumu bali nikujua ni vitu gani hasa mwanamke hapendi kuvizungumzia na vitu gani anapenda kuvisikia. Fuata maelekezo hapo juu utaona matunda yake...kisha rudi toa maoni yako hapa.

MUHIMU: Maelekezo haya yote yatafanikiwa kwa mwanamke mwenye kuhitaji mapenzi ya kweli - yani sio kwa wanawake wanaolenga kuchota pesa kwako na kutokomea. Hivyo kuwa makini sana.
Kutongoza hakuna ''formula''
Kutongoza hakuna formula silaha pesa na maneno mazuri. We ukimtamani dada kwanza msalimie, muombe samahani kwa kumpotezea wakati, jitambulishe na omba utambulisho wake na mueleze jinsi ulivyopendezewa nae na mwishoe muombe contact zake ili mpange siku ya maongezi zaidi. Ukibahatika kupata contact uchune kama mwezi hivi kumsoma labda akukumbushe. Mpange siku ya kukutana sehemu iliotulia, pawe na vinywaji vya aina zote na vyakula vya aina zote na mtege awe wa kwanza kuagiza. Hiyo itakusaidia kumsoma na kujitengenezea mazingira ya kuuteka moyo wake.

Nasema hivyo kwasababu hata mimi nimeweza kumsoma dada mmoja ambae niliwahi kuchukua contact zake bwana wee kila siku anaomba vocha hela za matumizi na huwa nampa ijapo sijawahi kukutana nae kwa mazungumzo zaidi wala kimwili kwa kuwa nimeshamsoma hanifai.
Mbinu na maujanja 15 za jinsi ya kutongoza wanawake na wafall na wewe

Kutongoza mwanamke wakati mwingine inaweza kuwa na tatizo. Hizi hapa ni mbinu na ujanja 15 za jinsi ya kutongoza wanawake na wafall na wewe.

Tumeshapitia hapo. Kuna yule mwanamke mrembo ambaye umekufia naye na una hamu ya kutaka kumjua. Lakini kuna lile tatizo linajitokeza ambalo linakufanya ushindwe kuongea na yeye uso kwa uso. Unatamani kuwa na uwezo wa kumu-approach ili umsome akili yake na umwambie yale yote yaliyo moyoni mwako.

Hapo hapo, ijapokuwa kutongoza mwanamke huwa inakuja automatic kwa baadhi ya watu, kwa wengine inawafanya wajihisi wako katika hali ngumu. Yale mawazo tu ya kumu-approach mwanamke yakiwajia wanaanza kutokwa na kijasho kwa mikono, midomo inakauka, na unaanza kuongea kama kigugumizi unapotamka maneno – yaani inakuwa mbaya kujieleza na si vizuri itokee kwa mwanaume yeyote. Watu wa aina hii tumezoea kuwaita 'Domo Zege'

Habari njema ni kuwa unaweza kujifunza njia za kutongoza, na ufanye mazoezi ya kutongoza hadi ujihisi kuwa umejiamini na tayari kuandama msichana unayempenda.

Na kwa hilo, nimekuja na mbinu 15 ambazo unaweza kuzitumia kutongozea wanawake.

#1 Tabasamu

Kutabasamu ni hatua ya kwanza bora ya kuanzia, haswa wakati ambapo umeingiwa na kibaridi. Hakikisha ya kuwa anayaangalia macho yako na unamaintain mtizamo wa macho yenu. Tabasamu huku unajiamini na usiwe wa kwanza wa kuangalia kando.

Kama atakurushia tabasamu, basi angalia kando kwa dakika chache halafu mwangalie tena huku ukitabasamu. Njia hii itampa ishara ya kumwambia kuwa uko interested na yeye. Lakini usifanye kosa la kurudia rudia kumtabasamia kwa sababu atakuona kama fala. So unachohitajika ni kujiandaa kumuapproach ili uanze mazungumzo.

#2 Tumia miondoko ya mwili inayofaa.

Hakikisha unamakinika na miondoko ya mwili wako wakati unapozungumza na yeye. Kama umeingiwa na wasiwasi, usitie shaka muaproach mwanamke huyu kana kwamba hauko interested na yeye. Kuikunja mikono yako, kuangalia miguu, na kuangalia kando hupaswi kufanya kamwe.

Kuwa wazi na utumie macho yako kuwasiliana naye – mwangalie bila kuona aibu! Tumia mwili wako kumtongoza. Mwonyeshe kuwa umevutiwa na yeye.

#3 Mguse

Njia rahisi ya kumtongoza mwanamke ni kumgusa. Unaweza kumsugua na mkono wako, ama kama umekaa kando yake unaweza kuuachilia mguu wako umguse. Iwapo amependezwa na wewe hatauondoa.

Kama unamjua zaidi, kumgusagusa hua inafanya kazi vizuri sana. Mkumbatie, weka mkono wako kiunoni mwake wakati unaongea na yeye na hali kadhalika. Fanya haya yote iwapo tu hakatai. Na ukiona kama anarudia kile ambacho unamfanyia basi ujue umefaulu.

#4 Mfanye acheke

Ucheshi ni kitu cha kwanza ambacho wanawake huangalia kwa mwanaume, hivyo basi ni lazima ujifunze tabia ya kuwa mcheshi kama unataka kufaulu katika sanaa ya kutongoza. Kama unaweza kumchekesha basi utamfanya ajifeel amerelax na wewe mara moja hivyo kumvutia.

Si lazima uwe mcheshi kama Kingwendu ama Churchill ili umfanye acheke, la. Kinachohitajika ni uwe mhalisi. Kila mtu katika huu ulimwengu ana kipawa chake cha ucheshi. Hivyo unaweza kukumbuka jambo lolote ambalo ushawahi kuchekesha mtu. Mwanamke akikupenda anaweza kuchekeshwa na kila neno ambalo utasema.

#5 Mwache aombe nguo zako

Anapenda kuvalia lile vazi lako kubwa, so mpatie avae kama kuna baridi. Hakikisha pia linanukia marashi yako, na kama anakupenda, atatamani akae nalo ili alikumbatie kwa kitanda na akuote katika ndoto zake.

#6 Msifu

Kumsifu mwanamke huwa ni mbinu nzuri ya kutumia wakati unapotongoza mwanamke, so mwonyeshe kuwa anavutia. Kama hutaki kwenda haraka unaweza kuanza na maneno kama ‘leo unapendeza’ ama ‘nimependezwa na kiatu chako’. Hii ni njia ya rahisi kumwambia mwanamke kuwa anavutia bila kusema neno ambalo litamuudhi.

#7 Kuwa mzuri mbele ya marafiki zake

Hakikisha kuwa unajipa time na marafiki zake. Kama ataona kuwa unajaribu kuwasiliana na marafiki zake, itampa ishara kwake kuwa umependezwa naye na uko tayari kuspend muda naye. Kama bado hajaamua basi atatafuta ushauri kutoka kwa marafiki zake na itakuwa rahisi kwao kukuidhinisha kwake.

#8 Muulize maswali

Kama unataka kujua kutongoza wanawake basi lazima uonyeshe interest kwa kumuuliza maswali mengi.

Atashukuru ule muda wote ambao umekaa na yeye ukimuuliza maswali kutaka kumjua zaidi. Hakikisha unamakinika na majibu yote ambayo atakwambia ili wakati mwingine mtakapokutana usisahau chochote kile wakati ambapo atakuuliza swali.

#9 Ijue familia yake

Kuijua familia yake ni njia nyingine ya kuonyesha kuwa umevutiwa na yeye na uko tayari kujipa muda kujua zaidi kumhusu.

#10 Mfanyie favour/fadhila

Kutongoza mwanamke huwa kunakuja na njia tofauti tofauti. Kumwonyesha ukarimu mwanamke kwa kumfanyia jambo asilotarajia ni njia murua ya kuhakikisha kuwa utawini penzi lake.

#11 Mnunulie kinywaji

Wakati mwingine vile vitu rahisi huwa ndivyo bora. Kama unataka maongezi yenu yawe rahisi na yaliyotulia basi huna budi kumnunulia kinywaji halafu mazungumzo yaanze na hapo.

#12 Mnunulie zawadi

Zawadi nzuri na yakuvutia ni njia nzuri ya kumtandaza mwanamke katika hali ya kumtongoza. Unaweza kumzawadia zawadi cheshi na yakufurahisha haswa kutokana na mambo ambayo ameyataja kutokana na mazungumzo yenu ya awali. Hii itamvutia. Hakikisha haumnunulii zawadi ambayo ni ya gharama ama iliyo serious coz unaweza kumuogopesha.

#13 Kuwa interested na mambo anayopenda

Pata kujua kile kitu anachopenda na kufanya wakati yuko free, vitu anavyopenda na kila kitu. Hii itakupa nafasi ya kuwa na mambo mengi ya kuongea kuhusu. Ataona kana kwamba mnafanana kimtizamo flani.

#14 Mtumie SMS

Mazungumzo ya SMS ni njia nzuri kwa kutongoza. Kwa mtu mwenye kuona aibu inakuwa rahisi kwake kabla ya kuanza mazungumzo ya moja kwa moja. Mtumie jumbe za kutongoza, cheshi, na kama atajibu inavyostahili unaweza kumtumia jumbe zaidi.

#15 Mtese

Kumtesa kwa upole ni njia nzuri ya kuanza kutongoza mwanamke. Kila mtu anajua kuwa wale wavulana wadogo hupenda kuvuta nywele za wasichana wadogo ambao wamependezwa nao. Hivyo hivyo kumtatiza mwanamke kwa upole, unampa ishara kumwambia kuwa umevutiwa naye. Hii mbinu ina utata lakini ni kweli.

Mbinu ndizo hizi tushakupa. Usingojee tena. Jiamini uanze kumuapproach yule dada saa hizi!


NB: Kuna watakaokuja na hoja ya "siku hizi hamna haja ya kutongoza ni Pesa yako tu" Sijakataa, ila acha wengine wajifunze, najua pesa ina nafasi yake kwenye mahusiano kwani ikipungua na mapenzi vilevile hupungua.

Vilevile, kama kuna mbinu nyingine unayo karibu maana najua kuna wale magwiji waliotukuka katika sanaa hii.

00ff820152ff3306f2d01c218616d6f2.jpg


C,E&P

CREDITS GOES TO: Nesimapenzi dotcom

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app

HATUA 10 ZA KUANZA MAHUSIANO NA MSICHANA MZURI, MWENYE ELIMU, MWENYE KUJIHESHIMU NA MSTAARABU
Saikolojia ina mambo mengi ambayo tukiyatumia vizuri katika maisha yetu inaweza kutusaidia kuepukana na mikanganyo katika mahusiano na maisha kwa ujumla. Hiizi ni baadhi ya hatua muhimu ikiwa umemwona msichana ukampenda na sasa unataka kuanzisha mahusiano naye.

1. Ikiwa kwa mara ya kwanza umeonana na msichana ukampenda na ukataka kuanza naye mahusiano, usikimbilie kumtongoza. Mfahamu kwanza.hakikisha unachukua muda kufahamu anaishi wapi, anafanya kazi wapi,anasoma wapi au anafanya nini. Wanaume wengi wanakosea siku ya kwanza tu anamwona msichana anaanza kushusha mistari.kwa msichana anayejielewa hawezi akakukubali. Do your homework buddy.

2. Ukishafahamu anapofanya kazi au anapoishi then jitahid angalau mara mbili tatu muonane.akuone ashike sura yako. kwa maana ya kwamba mara nyingine mkija kuonana awe anakumbuka kuwa mmeshawahi kutana before.kipindi chote cha kwanza ambacho unaonana naye unaweza ukawa unamsalimia tu au usimsalimie kabisa.ukawa tu mkimya lakini mpole na mstaarabu. Siku hii ya tatu au nne msalimie tu basi. next time msalimie tena. another time jaribu kumsemesha kuhusu kazi na mpe pole.au jaribu kumuuliza kuhusu masomo n.k USIOMBE NAMBA YA SIMU KWANZA. Then siku nyingine mkishafahamiana kama yupo kazini mpelekee kinywaji kizuri kama juice ya CERES etc. au Lunch nzuri kabisa from KFC etc.mwachie hapo usikae mwambie "nilikuwa napita tu nikakumbuka kukusalimia najua upo busy sana hii lunch usije ukapata ulcers bure" ondoka.

3. Kwenye kuomba namba ya simu unapaswa uwe makini na maneno unayotumia ikiwa unamtongoza msichana anayejielewa. unaweza mwambia tena baada ya kuwa mmeshaongea na kubadilishana mawili matatu. "oohh sister i amm sorry kama hutojali naomba tubadilishane namba za simu maana siku zote hizi tunaongea tu hatuna mawasiliano. Sisi binadamu you never know..." akikupa usimtafute siku hiyo..kam siku mbili hivi tulia tu.asione ulikuwa na munkari sana na namba yake. then siku moja mpigie tu kumsalimie "habari yako xxx, za siku mbili tatu? upo? nmekukumbuka sana nikaona nikusalimie". then muage.

4. Siku nyingine mpelekee tena zawadi. Wanawake wanapenda sana zawadi, na huu ndo uchawi kwa mwanamke unayependa na unamuhitaji. Mpelekee zawadi then mwachie ondoka. Next day mpigie muulize huwa weekend anapendelea nini? Kama anapenda movie, kwenda live band n.k tafuta sehemu tulivu mwuulize lini ana nafasi umpeleke. nenda naye sehemu tulivu.hakikisha kama una gari unamfungulia mlango na kufunga kisha mfunge mkanda siku hiyo pulizia perfume flan tulivu sana unapofunga mkanda ni wazi utamgusa kidogo then nenda naye unakoenda naye ukiongea naye taratibu sana huku ukimsoma anapenda maongezi gani. mpe nafasi azungumze ,then msikilize.

5. Wakat iwote huo hakikisha uwe unamwangalia kwa jicho la wizi..usimkodolee macho.mwangalie kwa wizi ila hakikisha naye anajua kuwa unamwangalia kwa wizi. Mwangalie vidole vyake, miguu na usoni. Ukirumdisha kwake/kwao mshukuru sana kwa jinsi alivyo na moyo wa ukarimu na mzuri. Mwambie umebarikiwa kuwa na uzuri wote. Mwache aende ndani wewe ondoka.

6. Siku nyingine tena mtoe out anza kumwongelesha habari za mahusiano ujue naye yupoje. Mchimbe vizuri kwa ustaarabu na taratibu. Mheshimu mwoneshe thamani yake.then mkiachana baadaye mtumie text ya kumwish usiku mwema n.k asubuh muulize kama ameamka salama na mwish good day, then siku moja ukiwa umetoka naye mwambie " xx naomba sana unisamehe kwa hili nitakalo kwambia ikiwa ntakukwaza.binafsi najikuta siku zinavyozidi kwenda nazidi kukupenda... nashindwa kujizuia kwa hali hii ninayokuwa nayo. Nimejaribu sana kuificha lakini leo nimeona nisiendelee kuteseka moyoni, kiukweli najisikia amani na furaha ninapokuwa nawe.toka siku ya kwanza naona umeyabadilisha sana maisha yangu" ongea maneno haya ukimtimzama usoni au huku umeshika mkono yake taratibu.

7. Siku hiyo usitake akupe jibu kama amaekubali au laah. Akikupa shukuru akikwambia ngoja afikirie pia usikasirike na kum rush, ila mkirudi home kama una gari ukifika kwake simamisha gari kwanza then mtizame tu usoni.mwambie "sitamani uondoke xx wish tungeendelea kuwa wote zaidi na zaidi"chukua mkono wake ubusu. shuka mfungulie mlango mfungue mkanda ashuke.

8. Akikwambia yeye ana mtu au hataki uhusiano kwa kipindi hicho .usikasirike.mwambie haina shida wewe bado moyo wako upo kwake so utaendelea kumpenda siku zote no matter what.usiache kufanya uliyokuwa unayafanya. wakati mwingine mwanamke anaweza asikupende mapema.ila usiache kuwa mwema, endelea kuwa mwema.mjali mpende mheshimu.unaweza kuta unajenga mapenzi kwake taratibu.kama ana mpenzi kuna siku watagombana na atakutafuta wewe umfariji... au kama hakuwa naye hisia zake kwako zitakua na siku moja atajikuta anakufikiria.

9. Siku mkiwa pamoja sehemu "tulivu" amekuja kukutembelea mara nyingi kwako...kaa naye kwenye kochi weka movie ya mahaba but not ya porn.mkiwa mnaangalie kuwa naye karibu then unaweza mkiss mkononi. au shingoni. mshike kichwa chake mtizame usoni then ukiweza lengesha machozi usiseme kitu mtizame tu. mwambie "i wish you were mine" ngehakikisha una furaha sana hapa duniani.coz unastahili kuwa na furaha wakati wote" then mkiss kwenye lips,mkiss tena, na tena huku ukimshika kiunoni na kumkiss shingoni, nenda mdomoni mbebe taratibu mweke kwenye sofa..endelea kumkiss kila sehemu ukitafuta walipo waarabu wake.

10. usikimbilie ku make love naye kabla hujamwandaa.. mwandae sana then hapo ndo unaweza make naye love... taratibu sana huku ukiendelea kumkiss na kumsemesha ukimsifia.style ya kwanza itakuwa kifo cha mende kwa siku ya kwanza.au kwa mchezo wa kwanza kabla ya half time.mkimaliza endelea kumkumbatia.msafishe na mkiss n.k ndo tayati ameshakuwa mpenzi wako,mchumba na baadaye mke.

Kwa msichana wa uswahilini, wa Kiswahili, asiyependa Complications huhitaji hatua zoooooote hizo.

1. Mfahamu jina na anapofanya kazi.nenda kazini kwake jioni moja au chuo anakosoma. msalimie mwambie umeshawah mowna sehem flani na wewe upo sehemu flani. kama hatojali mwombe umpeleke anakoishi..umpe lift kama huna gari chukua naye uber/bajaji. mwende wote ukamwache kwake. muulize kama hatojali akupatie namba ya simu ili uwe unampitia ukitoka kazini siku moja moja.

2. Mpitie kwa weeke nzima. ukimpitia jioni hakikisha kwenye gari lako kuna biscuit au crisp za kwenye kopo n.k mwachie awe anatafuna tafuna. weekend mwuulize ana ratiba gani. mtoe anakotaka kwenda. mnyweshe sana..anywe hasa... then mwambie sasa muondoke. kama anaishi peke yake hana mtu kwake mwombe kuwa jinsi alivyolewa si vyema akalale kwake peke yake utaenda mpeleka kwako akapumzike.mpeleke kwako ..

3. Mpeleke bafuni akaoge au mwogeshe, then mpeleke kitandani.. hapo unaweza endelea na mambo mengine hakikisha pia una condoma au mwandae kiasi cha kutosha.

Wale wanawake NYATUNYATU
1. Mwambie unatamani umle mzigo. atakutukana mwambie hayo matusi yake ndo unayapenda sana ila wewe unayataka yawe ya vitendo. mtumie 20,000 mwambie aweke voucher akutukane zaidi.

2. Kesho yake mwambie unataka aje kwako umandalie nini au mwambie unataka umtoe out mwende sehemu tulivu.nenda naye hotelini au lodge ale anywe mwambie umechukua chumba mkanywee huko zaidi.then nenda naye huko kamkamue. Mpe 20,000 -30,000 za nauli. achana naye. AU wale macho Kumchuzi

1. Mwambie we hutaki kona kona, unataka mapenzi kwake. wala huna sababu ya kumuuzia chai.so mnaweza onana wapi na pia umwandalie nauli kiasi gani na usumbufu maana unajua ana ratiba zake nyingi so unaheshimu ratiba zake.so si vizuri aje tu halafu aondoke hivi hivi so kwa ajili ya kumuomba msamaha umwandalie tsh ngapi.

NB: KEY KATIKA HAYA YOTE ni uvumilivu, ustaarabu na pi akujitoa. lazima kiasi flani mfuko utoboke, usiwe na mikono mikavu sana. lazima uwe na unyevu kiasi flani. mapenzi ni gharama. la msingi msome mtu unayemtaka. mfahamu yeye ni type gani. then nenda naye kama alivyo. vijana wengi wana haribu sababu ya haraka na kukosa subra. usimvamie mwanamke kama humfaham ni mtu wa namna gani, atakuaibisha. hayo yote pia nawe jitizame ni aina ya mwanaume ambaye anaweza kukufikiria? jiweke smart and gentle. Tafuta mtu wa kuoa.

Unaweza mwanamke ongezea unayoyapenda na pia mwanaume ukaongezea unayoona yanafaa ili kusaidiana kwenye kutafuta mke na mume anayefaa.

PIA SOMA MADA HIZI:

1. Namna ya kuongea wakati wa kumtongoza mwanamke
2. Zijue mbinu 5 za kumtongoza msichana yeyote mrembo hadi akubali

3. Mbinu 15 za kumtongoza mwanamke akakupenda daima
5. Jinsi ya kumtongoza mwanamke club
6. Jinsi ya kumpata mwanamke bila kumtongoza
7. Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!
 
Je, nitumie njia gani kumzoea mwanamke ninayempenda? Nikimzoea tu ntatumia izo mbinu zakoo hapo.
 
Wa siku hizi huhitaji yote hayo. Kuna mahali nilisoma, ".you don't have to spend money on women to get them, just spend it in front of them."

Cc: mzabzab
Ndo unajidanganya hivyo, mkono mtupu haulambwi acha ubahili wewe, warning (Benki ya mjinga ni tumbo lake)
 
Aah wanawake wenyewe wakwapi wa process zote hizo mkuu??
Kwa kweli hata mimi sina kumbukumbu kwa mara ya mwisho nilitongozwa lini. Siku hizi hakuna mwanaume hata mmoja anayejua kutongoza akamlainisha mwanamke, bali huwa tunaamua kuwakubali kwa kuwahurumia tu. Mtu akifika kwa mwanamke badala ya kuwa wazi utakuta anajiumauma tu!
 
Kwa kweli hata mimi sina kumbukumbu kwa mara ya mwisho nilitongozwa lini. Siku hizi hakuna mwanaume hata mmoja anayejua kutongoza akamlainisha mwanamke, bali huwa tunaamua kuwakubali kwa kuwahurumia tu. Mtu akifika kwa mwanamke badala ya kuwa wazi utakuta anajiumauma tu!!
Hatuwahurumii ila moyo unakuwa umeshampenda hivyo chongo yake unaiona anarembua na kuamini utamfundisha taratibu, wengi wao ni wavulana tu.
cc, Mentor
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli hata mimi sina kumbukumbu kwa mara ya mwisho nilitongozwa lini. Siku hizi hakuna mwanaume hata mmoja anayejua kutongoza akamlainisha mwanamke, bali huwa tunaamua kuwakubali kwa kuwahurumia tu. Mtu akifika kwa mwanamke badala ya kuwa wazi utakuta anajiumauma tu!!
Binti.com watoto wa dot.com!

Ulipotelea wapi bidada?
 
Last edited by a moderator:
Ah we jenga mazingira mazingira yakujenge c kiladem aningilika kwa njia moja ki2 masela kinachokua kigumu n kujenga mazingira 2 ili umjue dem anaingilika vp mf dem ma geti jinsi ya kumtokea ntofauti na dem wa kitaa.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom