Jinsi ya kumjua msichana mwenye mapenzi ya dhati na ya kweli!

Kuwafahamu inakuwa ngumu kidogo maana wa siku hizi wanapretend ile mbaya. Ila kitu cha kwanza kwako wewe unatakiwa uondoe fikra za kimatamanio ili ujiweke kwenye position ya kumchunguza.

Kuwa kama wewe usiigize halafu uone anakuchukuliaje
Wanawake waliowengi wanaangalia kipato cha mwanaume sasa hapo angalia sana. Muangalie siku akikuomba pesa halafu ukamwambia sina angalia reaction yake, ukiona anakuuliza utapata lini pesa basi kula kona mapema huyo hakufai.
Angalia anavyojali mambo yako sio wewe kila siku kujali mambo yake

Mengine baadae ngoja wengine waje

kwa kweli huyu binti nimekaa naye hajawahi kabsa kuniomba hela kwan anajua kabsa mimi ni mwanafunzi na yeye pia ni mwanafunzi kwahyo kumpa hela ni uamuzi wangu 2 ndivyo anavyosema yeye,na pia aliwahi ckia maneno flan hv kuwa mimi nimetoka na wasichana wawili 2po nao jiran kuckia hvyo alizima cmu wiki nzma hakutaka m2 yeyote ampigie simu hapo kisa mimi kuckia kuwa nimefanya mapenzi na hao mabinti,hapo nikaamua kufanya jitihada zangu zote ili kuongea naye bahati nzuri nikampata nikaongea nae kwenye cmu ya dada yake kumuuliza kwann hapatkan kwenye cmu yake akaniambia ni wewe ndiye uliyefanya mpaka nizme cmu kwa kuckia kuwa umefanya mapenz na hao nikamwambia ucckilze maneno ya wa2,bac demu akafunga safari kutoka dar mpaka mwanza hapo kisa mimi ili 2ongee naye vzuri"akasema kuwa nimekuja mwanza kwa ajili yako"na akaniuliza swali hli"hv ni ki2 gan ambacho mimi cna mpaka ukaamua kutoka na hao wasichana?ama ni k2 gan wao wanacho ambacho mimi cna?".ni kwel huyu msichana ana mapenzi ya dhati kwangu?
 
manadamu ngumu sana kumdhamini, manake anabadilika kila siku.
ukitaka kuamini angalia yafuatayo
1.Rafiki/umpenzi uliekuwa unampenda kuliko wote ukiwa primary
2. rafiki/mpenzi wa secondary
3.wa adv
4. wa chuo
5. wa mtaani kwenu
6. uliekutana nae wakat ulipoenda likoz mkoan wa ndugu yako
7. ulikuuwa unafanya nae kaz kabla ya kupata uhamisho

Je kutaka 1-7 ndo huyo ulienae sasa hivi?
km sio jua kila siku mahitaji tyako yanabadilika. Hata ukimpata mpenzi leo baada ya miaka kadhaa mahitaji yake yatabadiklika so atakuona ww hufai tena kwa wakati huo kama ww ulivyoona 1-7 hawafai kwa vipindi tofauti.

Angalizo: watu wajifunze kuridhika na wanaokuwa nao, waache kuiga toka kwa ndugu ama marafiki wengine.
 
Mwanawake anajua kupenda ila kupenda kwake ni kwa taratibu sana kuliko mwanaume na kutaka kumjua kama anakupenda
angalia sana nyendo zake bila yeye kujua kama unamchunguza na utamwona kwa jinsi anavyojielekeza kwako na kama ukija . moja angalia ahadi ya kukutana na wewe je anatimiza
. mbili angalia kama ukichelewa anasemaje
.tatu angalia kama hukumpatia anapohitaji je anaonekaje
.nne angalia je kuna siku yeye amewahi kukuomba mtoke naye ila wewe uamue na si yeye
kama yeye akiamua uwe makini huenda anakwenda kuwaonesha wenzie wazuri/wabaya na kama wewe ukiamua ni kweli muwazi na asiwe na pingamizi la sehemu ya kwenda na akitoa pingamizi jua ni uongo kwa vile kupenda ni upofu. na mwisho muangalie mnapokuwa je yuko huru au kuna hataki kupita? au kuna watu anajificha nao kumbukuka siongelei mwanafunzi(shuleya msingi hadi fomu six) ni mwanamke aliye huru katika maamuzi maana kujificha kuna maana nyingi nzuri kwa mbaya
 
nimekuelewa bro datz iz true broda,na je kama msichana anaamua kukutambulisha katika familia yao kwa hili inakuweje?na hapa c anapenda kweli?
 
people are untrue kuwajua ni kazi sana lkn licha ya yote haya mtu akipenda anaonekana maana mapenzi ya k.uijifake yana tesa so mwisho wasiku mtu utamtambua tu
 
Jamani wana jamii FORUMS siku hizi hakuna mapenzi ya kweli mtu anaweza akajifanya mwema kuliko malaika wa mungu, kumbe nyuma ya pazia ni shetani tena kiongozi wa mashetani.

Ushauri wangu kaa chini unapoamua kuwa na mahusiano na mtu flani mtangulize Mungu akuoneshe yaliyo ndani yake kwa uwezo wetu ss binadamu ni viguvu kujua siri ya mtu bali ni Mungu pekee.
 
Human Behaviour are either unpredictable or understood.
No Scientific theory to explain Human Behaviour.
You cant generalize ones' behaviour to another.
Yet, just live anyway.
 
mwizi akiibiwa huwa inauma sana
kwa kweli huyu binti nimekaa naye hajawahi kabsa kuniomba hela kwan anajua kabsa mimi ni mwanafunzi na yeye pia ni mwanafunzi kwahyo kumpa hela ni uamuzi wangu 2 ndivyo anavyosema yeye,na pia aliwahi ckia maneno flan hv kuwa mimi nimetoka na wasichana wawili 2po nao jiran kuckia hvyo alizima cmu wiki nzma hakutaka m2 yeyote ampigie simu hapo kisa mimi kuckia kuwa nimefanya mapenzi na hao mabinti,hapo nikaamua kufanya jitihada zangu zote ili kuongea naye bahati nzuri nikampata nikaongea nae kwenye cmu ya dada yake kumuuliza kwann hapatkan kwenye cmu yake akaniambia ni wewe ndiye uliyefanya mpaka nizme cmu kwa kuckia kuwa umefanya mapenz na hao nikamwambia ucckilze maneno ya wa2,bac demu akafunga safari kutoka dar mpaka mwanza hapo kisa mimi ili 2ongee naye vzuri"akasema kuwa nimekuja mwanza kwa ajili yako"na akaniuliza swali hli"hv ni ki2 gan ambacho mimi cna mpaka ukaamua kutoka na hao wasichana?ama ni k2 gan wao wanacho ambacho mimi cna?".ni kwel huyu msichana ana mapenzi ya dhati kwangu?
 
manadamu ngumu sana kumdhamini, manake anabadilika kila siku.
ukitaka kuamini angalia yafuatayo
1.Rafiki/umpenzi uliekuwa unampenda kuliko wote ukiwa primary
2. rafiki/mpenzi wa secondary
3.wa adv
4. wa chuo
5. wa mtaani kwenu
6. uliekutana nae wakat ulipoenda likoz mkoan wa ndugu yako
7. ulikuuwa unafanya nae kaz kabla ya kupata uhamisho

Je kutaka 1-7 ndo huyo ulienae sasa hivi?
km sio jua kila siku mahitaji tyako yanabadilika. Hata ukimpata mpenzi leo baada ya miaka kadhaa mahitaji yake yatabadiklika so atakuona ww hufai tena kwa wakati huo kama ww ulivyoona 1-7 hawafai kwa vipindi tofauti.

Angalizo: watu wajifunze kuridhika na wanaokuwa nao, waache kuiga toka kwa ndugu ama marafiki wengine.
Paka mjeda hapo kwenye red ni bonge moja ya point. Halafu pia kutokana na muelekeo wako anaweza kutabiri kuwa utakua njema na akavumilia kuwa na wewe akisubiri, mambo yakienda kinyume na utabiri wake, hapo matatizo ndio yanapoanzia.
 
nimekuelewa bro datz iz true broda,na je kama msichana anaamua kukutambulisha katika familia yao kwa hili inakuweje?na hapa c anapenda kweli?
Nakubaliana na wewe kuwa demu wako anakupenda. Lakini kukutambulisha kwenye familia yao sio test sahihi ya kuthibitisha kuwa anakupenda. Mfano halisi, kuna dada mmoja aliwatambulisha kwa wazazi wake, marafiki zangu wawili wa karibu ambao hawajuani na wote walikuwa ni wachumba wa huyo dada. Na bado huyo dada aliolewa na mtu mwingine na sio hao wawili, hii ina maana alikuwa na wachumba watatu au zaidi.
 
kwa kweli huyu binti nimekaa naye hajawahi kabsa kuniomba hela kwan anajua kabsa mimi ni mwanafunzi na yeye pia ni mwanafunzi kwahyo kumpa hela ni uamuzi wangu 2 ndivyo anavyosema yeye,na pia aliwahi ckia maneno flan hv kuwa mimi nimetoka na wasichana wawili 2po nao jiran kuckia hvyo alizima cmu wiki nzma hakutaka m2 yeyote ampigie simu hapo kisa mimi kuckia kuwa nimefanya mapenzi na hao mabinti,hapo nikaamua kufanya jitihada zangu zote ili kuongea naye bahati nzuri nikampata nikaongea nae kwenye cmu ya dada yake kumuuliza kwann hapatkan kwenye cmu yake akaniambia ni wewe ndiye uliyefanya mpaka nizme cmu kwa kuckia kuwa umefanya mapenz na hao nikamwambia ucckilze maneno ya wa2,bac demu akafunga safari kutoka dar mpaka mwanza hapo kisa mimi ili 2ongee naye vzuri"akasema kuwa nimekuja mwanza kwa ajili yako"na akaniuliza swali hli"hv ni ki2 gan ambacho mimi cna mpaka ukaamua kutoka na hao wasichana?ama ni k2 gan wao wanacho ambacho mimi cna?".ni kwel huyu msichana ana mapenzi ya dhati kwangu?

Usiumize kichwa sana, siku hizi haya mambo yamegeuka kamari, kuna kula na kuliwa. Endelea na huyo demu, endelea kumuamini hadi pale utakapoiona kasoro, hauwezi kumuhukumu kwa sababu hadi sasa hakuna kibaya alichokufanyia.

Tahadhari.
Makocha wengi wanakwambia ili kupunguza kushambuliwa inabidi timu yenu icheze kwa kushambulia na sio kujihami. Kuna baadhi ya wanawake akishafanya madudu yake anakuzushia tuhuma anaanza kukushambulia ili wewe uwe katika hali ya kujitetea zaidi, hivyo hutakuwa na uwezo wa kuhoji madudu ambayo anahisi utakuwa umeyajua.
Kwenye red: umehakikisha ni kweli amesikia kuwa umetembea na hao wasichana wawili? au amezusha ku-create defense mechanism? suala la dada yake pia amesema usichukulie ni sababu kuwa anachoongea ni cha ukweli, kumbuka huwa wanateteana na kutunziana siri.
Msichana akimpenda mtu ni ngumu sana kumkatia mawasiliano(kuzima simu) ghafla kwa wiki nzima bila kuhoji tuhuma. (Zingatia siku hizi wana line za simu hata nne, unless unazijua zote)

Kwenye green: kufunga safari hadi mwanza kwa ajili yako inaweza kuonyesha kuwa anakupenda(kama ni kweli humpi hela,na katumia nauli yake). Na hii ni kama tu una uhakika ni kweli hana mtu mwingine anayefahamiana nae mwanza.
Na vilevile kwenye hiyo wiki moja ya ukimya anaweza kuwa alikuwa ana test zali sehemu nyingine akaona haifai akarudi mbio kwako, utajuaje?

Unaweza ukahamisha Newton's 3rd law of motion, kwa kifupi "to every action, there is equal and contrary reaction"
Kwa kila sababu itakayokufanya uhisi anakupenda, kunaweza kuwa na sababu ya kinyume chake pia.

Cha msingi mpende na muamini demu wako bila kuhisi hakupendi, mpaka hapo utakapoona tatizo.
 
Back
Top Bottom