Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 6,612
- 10,667
wadau nimeinstall win 7, sasa kuna mambo mengi nikitaka kufanya naambiwa nilog as administrator, nimejaribu kugoogle lakini kila njia ninayo tumia inaniambia registry ipo blocked na administrator.
ninacho kumbuka mimi wakati tuna install niliingiza jina moja tu, lakini sijui hayo ya administrator
Msaada wenu tafadhali
ninacho kumbuka mimi wakati tuna install niliingiza jina moja tu, lakini sijui hayo ya administrator
Msaada wenu tafadhali