Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

oh masaki za siku tele kaka, mie huwa navutiwa na wanaume warefu, wasio na kitambi, wasio na madevu, weusi au maji ya kunde, wasio kunywa mipombe ovyo, anayejua kutake trouble ya kunisikiliza na kunielewa kabla haja jump kwenye conclusion etc. etc, hope umeget picture of what i really want

Hapo kwenye bold nisipokuwa makini sitaweza kudumisha mila na wewe! Hapo kwenye red, potelea mbali acha nisidumishe mila na wewe kuliko kuachana na hii kitu inaitwa serengeti na msaidizi wake valeur!
 
mimi jamani mwanmke awe mrefu!!!!!!!!!!!!! baaaaasi. hata awe na sura mbaya kama zimwi, siangali!!!!!!!!

sasa akiwa mrefu halafu anataka kunimaliza kabisa kama emsiilema, aniachie yale manywele, asinyoe!! hapo hata myumba nitajenga!!!!!!!
...Mi napenda iwe kipara kabisa...Teh! teehh!!
 
porjie mie she tena wa nguvu hasa! and am proud to announce that!! yaani kwa kweli kama wewe ni 'he' na unatatizo la suruali kukubana in between 2 legs... mmmhhhh sijui niseme nini dear!

hahaa usinichekeshe na wewe afu unakuta tena sruali yenyewe ni njiwa na muhusika akitembea shurti ajibidishe kuibanduabandua maana inamng'ang'ania......ahhhhhh i hate that!!!
 
nzuri GP, afadhali sikuadimika ka jasho la kuku angalau...

dah ya mamistari nayachukia jamani lol!!!! kweli kipenda roho hula nyama mbichi....

watu tupo tofauti sana, mie ndio usiseme, cyapendi kabisa.
 
...Mi napenda iwe kipara kabisa...Teh! teehh!!

na wewe Laligeni yale maalama unayapendea nini??? watu wanahangangaika midawa kuyatoa hayo.....ukiwa nayo noma kuvaa nguo ya sleeveless au short dress na mini-skirts!!!!
 
mimi jamani mwanmke awe mrefu!!!!!!!!!!!!! baaaaasi. hata awe na sura mbaya kama zimwi, siangali!!!!!!!!

sasa akiwa mrefu halafu anataka kunimaliza kabisa kama emsiilema, aniachie yale manywele, asinyoe!! hapo hata myumba nitajenga!!!!!!!

Hivi hapa una maanisha mwanywele yepi? Maana nahisi sijakuelewa vizuri. Fafanua tafadhali!
 
Hapo kwenye bold nisipokuwa makini sitaweza kudumisha mila na wewe! Hapo kwenye red, potelea mbali acha nisidumishe mila na wewe kuliko kuachana na hii kitu inaitwa serengeti na msaidizi wake valeur!
ndo maana nikasema asiyekunywa mipombe 'ovyo' Km ukinywa kwa mpangilio mbona poa tu!
 
ndo maana nikasema asiyekunywa mipombe 'ovyo' Km ukinywa kwa mpangilio mbona poa tu!

Point well taken and filed for future office use! Saa kumi na moja tukutane basi zero pub tupange mikakati!
 
porjie mie she tena wa nguvu hasa! and am proud to announce that!! yaani kwa kweli kama wewe ni 'he' na unatatizo la suruali kukubana in between 2 legs... mmmhhhh sijui niseme nini dear!
siamini bado,
labda nione kwa macho kabisa, maana kuna mtu mmoja nae alijifanya shori kama wewe, LOL. kumbe ni HE.
 
Hivi hapa una maanisha mwanywele yepi? Maana nahisi sijakuelewa vizuri. Fafanua tafadhali!

ni yale manywele ya kule chini ndani ya penayi box, mie nikiyaona tu kwa macho yangu live, hujikuta kamtarimbo kangu kanadisa kama kiredio mkulima kilichowekwa betri mpya siku ya gulio katerero!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hahaa usinichekeshe na wewe afu unakuta tena sruali yenyewe ni njiwa na muhusika akitembea shurti ajibidishe kuibanduabandua maana inamng'ang'ania......ahhhhhh i hate that!!!

hahahaaaa kila akipiga hatua mbili tatu shurti abinue mguu au achokonoe chokonoe itoke... loh...kaaazi kweli kweli
 
especially wala walojaaliwa miili minono ndo wanayo ya hivyo....Iribini kwani hujawahi ona ya hivo??? (huwa nawahurumia lakini)

Ngoja nikuekue kidogo bana! LOL! Ngoja niwahi zangu gym!
 
Babra hebu nisaidie anayozungumzia Laligeni ni strechi marksi au zipi tena????
.bht, yaani kama unazo hizo sijui ndio mnaita strechi marks mwanangu sina cha kukuahidi lakini handas mi huanzia humo!! bht, unazo nini niku-PM??
 
Back
Top Bottom