Hey wakuu habari za asubuhi, kama kuna mtu yoyote anaweza kunijuza namna ya kufuta history ambazo ulikuwa unabrowise kwenye computer. coz kuna tendesi hapa ya kuchunguliana hapa kazinin so nlitaka nikiumaliza tu nafuta kila kitu yaaani isiwepo any history from the computer kama vile kufuta kitu kwenye recycle bin. Jamani msaada wenu ni wa muhimu sana