Jinsi ya kufunga cooker switch

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Msaada jamani.cooker switch inafungwa vipi?je connection kati ya cooker switch na jiko inakuwaje?je ukitumia 6mm itafaa?msaada tafadhari...
 
Msaada jamani.cooker switch inafungwa vipi?je connection kati ya cooker switch na jiko inakuwaje?je ukitumia 6mm itafaa?msaada tafadhari...

Hiyo nyumba ni yako au umepanga? Most likely ni quarters za shirika!
Usifanye mchezo na umeme kaka, hasa kama hauufahamu vizuri. TAFUTA CERTIFIED FUNDI akufanyie kazi, hata kama unaiona ndogo kiasi gani!
 
Back
Top Bottom