Njia za asili za kufanya uke kuwa mdogo

Kesho tusikie mtu analia hapa jamvini Candidiasis, chronic UTI na aina zote za kansa ya mlango na shingo ya kizazi
 
Duhhh hapana jmn,
Mi nnavojua kuoshea na maji ya baridi na Kegel exercises ndo vinakaza K,
 
mtoa post unataka wanawake wafanye upuuzi na mwishowe waambulie saratani za shingo ya uzazi. kwani likiwa shimo kuna ubaya gani! cha muhimu ni ufundi, kanaweza kuwa kashimo kadogo na bado kakawa tasteless,
 
Dah kweli dunia imefika hapa jamani!!?,
Mala wanaume wanaangaika kuongeza uume gafla tena wanawake nao wanaangaika kupunguza uke,
Kweli mnamkoso muumba we nu@#mtoa uzi
 
Unaubana uke unaanza kuugua magonjwa ya ajabu yasiyo na tiba mwili huu hauhitaji innovation yoyote, hasa uko chini kukibana mtoto atapita wapi hii ni rastiki mungu kaiweka ingekuwa wanaume wanapenda k ndogo basi waliozaa wasingeolewa wala kuwa na waume, usiwaaharibu wenzako wafukuze wadudu wangu waanze kutabika na magomjwa
 
Namba unielekeze ulipo nije unipe magagani,maana uke wangu umekuwa kama bwawa,natamani ningekuwa mchagga niwe na uke mdogo
 
Huu ujinga wa kizazi cha miaka hii!!! masikitiko makubwa.Kila mtu siku hizi mtaalamu. Huu uchafu wa nini ?

maarifa kichwani naona yanahitajika kwa kila binadamu hapa duniani, ukiyakosa lazima uangamie.
 
Tatizo la wadau hapa baadhi tunakejeli ilihali tatizo tunalikiri sirini. Kama mtu amekosea kupresent mshaurini vzr. Anachosema huyu dada ni tatizo kubwa na linasababisha baadhi yetu wanaumenkuchepuka tuache unafiki. Watu mpaka wanaparamia vitoto vua form1 au 2 unadhani wanatafuta nn kule?? Unafiki si jambo jema kabisa. Tufundishane kwa busara kama vile faida vs hatari za hoja ya mtoa mada lkn si kejeli na vijembe ilhali jamii yetu inazidi kuteketea kwenye dimbwi la uaminifu wa ndoa kupotea
 
Kitu kinapoteza mnato kutokana na freguency ya matumizi. Any mayerial has a limit to resist external forces, if the external forces are huge or they exceed the limit of the material, then the material will undergo what is called deformation. Waambie wajitunze na wasidhani matako hayo ya wachina na hizo papuchi ndio maisha, kuna mengi nje ya hayo.
Thanks
 
Hvi aliyetoa hii post anajua madhara ya kuweka vitu huko ukeni?hivyo unavyosema waweke huko vinasababisha kuua bakteria maalum kwa ajili ya kulinda uke ndo maana mwisho wa siku waume zenu wanalalamika kuwa mnanuka kama mizoga,me ninavyoelewa kuna mazoezi yanaitwa kegel ndo yanasaidia kukaza kwa misuli ya uke lakini si kwa kuweka vitu ukeni,
 
Amesahau na ukatie na nyanya na pilipili

Send via Quan dong fen from north Korea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom