Jinsi ya kuepuka mwanamke asipate ujauzito

Baada ya tendo anywe frajl ka tano iv apo mimba ata sk moja husikii n mwaka wa tano ss hii njia haijawah niangusha.
 
Baada ya tendo anywe frajl ka tano iv apo mimba ata sk moja husikii n mwaka wa tano ss hii njia haijawah niangusha.
Kwamfano tukifanya usiku kucha, alafu akameza kesho asubhi hapo itakuwaje?
 
Tumia njia ya kalenda ndio nzuri, iko hivi, akiingia period hesabu siku 5 ukianzia na ya siku ya kwanza kuona perid, katika siku hizi hamtakiwi kukutana sababu ya damu. Siku 5 zinazofuata ni salama, gegeda uwezavyo. Baada ya hizo 5 za kugegeda zinafuata siku nyingine 8, katika siku hizi hamtakiwi kugegedana kwani ni siku za hatari ambapo siku ya 14 tokea hedhi ianze yai hupevuka na likiguswa tuu na mbegu mimba!! Baada ya hizi siku 8 kuisha, unaweka shida chini mikono juu, unagegeda mpaka utakapoona hedhi.Baadae mzunguko unaanza kama hapo mwanzo. Pia awe makini kwani yai linapokaribia kupevuka kuelekea siku ya 14 mwanamke huwa katika heat na anakuwa na hamu sana ya kugegedwa. Fuatilia mchoro huu wa kalenda kwa msaada zaiView attachment 421362di.
Ni nzuri hasa kwa wale ambao tarehe zao za hedhi hazibadilikibadiliki!
 
Akikutegeshea maana yake atakudanganya kalenda yake na hapo si kosa lako atajioa mwenyewe maana haikuwa ridhaa yako! Lakin kama ww umeambiwa ni hatari days na ukazingatia "WITH-CASH" i.e withdraw hawezi kudaka na hautokuwa tayari kukubaliana na kumuoa kama una unauhakika kuwa ulimwagia maji ya nazi kwenye CHUCHU ZAKE AU KIFUAINI wakati dushee linatema lisasi za moto! Kumuoa binti kwa kigezo cha kukutegeshea mimba ni uzembe wa KUTONGOZA MPYA! (KWANZA KAKAIDI MAKUBALIANO, WA NIN SASA ATAKUSUMBUA HATA KTIK NDOA KWA UONGO WAKE HATA MAMBO MENGINE).
Una maono ya mbalii....guess una macho matatu...
 
Kila baada ya tendo, binti anywe maji ya baridi lita moja, hivyo kabla ya tendo hakikisha una lita moja ya maji bariidi, baada tu ya kumaliza tendo, binti aanze kunywa maji! Mimba utazisikia radioni, hii ni njia ambayo nilifundishwa na mtaalamu wa tiba asili, jaribu harafu utuletee mrejesho.
Duuuh
 
Fanya withdrawal mkuu, ni njia ilio safe kuliko zote pia haina madhara ingawa itahitaji uwe na nidhamu ya hali ya juu na kumasta mzunguko wako vyema!
Hii njia ni hatari zaidi, labda upige bao moja na kumaliza game.
Ila kama unaendelea, kunakuwa na shahawa zimebakia kwenye njia ya uume, unapoendelea zile zinatoka na kwenda kurutubisha yai
 
Je ukirudia tendo hata mara4 napo anywe lita4?
Jee.... Kama utalala nae usiku kucha!? Kila tendo lita mojaa ama mnapoona hamrudii tena ndio anywe?
Naomba ufafanuzi tafadhali.

Atapaswa awe na bomba la Dawasco ndani. Wakati anaendelea kugegedwa koki inakuwa mdomoni mwa mdada.
 
Hii njia ni hatari zaidi, labda upige bao moja na kumaliza game.
Ila kama unaendelea, kunakuwa na shahawa zimebakia kwenye njia ya uume, unapoendelea zile zinatoka na kwenda kurutubisha yai
unatakiwa ukojoe kila baada ya tendo mkuu ili uflashi mabaki ya shahawa
 
Nafikiri kinachibaki kwenye njia ya mkojo ni manii kwa wingi si shahawa maana manii ndo husafirisha shahawa aka mbegu
 
If you think withdrawal works, ask my five month pregnant girlfriend. In the end of the day mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa katika haya mambo... Ukienda peku anaweza akakutegeshea mimba bila ridhaa yako...
Watu wanasahau kuna pre ejaculation pia.
Halafu mkuu kasema akivaa kinga nguvu zinapungua, hii inatoa picha ya kuwa hayuko very active sexually hata asipotumia kinga. Kwa yeye kujaribu withdrawal inaweza kuwa shida, maana siyo zoezi rahisi kama siyo expert.
Njia bora ni kuepuka uasherati, angoje ndoa.
 
Hujamsaidia ndg. Kwani kwenye ndoa hakuhitajiki mimba gavana??umesikia kule ni mimba mwendo mdundo?? tuzingatie hoja. Kinachotakiwa njia za kumsaidia jamaa asimpe mimba mwenzi wake hovyo
 
Hujamsaidia ndg. Kwani kwenye ndoa hakuhitajiki mimba gavana??umesikia kule ni mimba mwendo mdundo?? tuzingatie hoja. Kinachotakiwa njia za kumsaidia jamaa asimpe mimba mwenzi wake hovyo
Akiwa kwenye ndoa nitamshauri kama mwana ndoa, nje ya ndoa ushauri pekee ni kuacha uasherati.
 
Back
Top Bottom