Jinsi ya kuepuka mwanamke asipate ujauzito

Halafu P2 unatakiw utumie mara moja tu kwa mwezi, ina effect zake unawez ukatapika na kuharisha at once dunia ukaiona chungu sina ham nayo mmi ilinitenda niliimeza mara moja ilichonifanya looo
Daw y huyo mtu atumie uza w mpango kwn anachoogopa nini?ttzo Wa TZ wengi tuna elimu za mtaani dhidi ya hizi kinga z uzaz w mpango.
Huwa wanaogopa illegularities,
 
Elim y uzaz w mpango inabidi ihusike jamaniii
Watu wa afya wanafanya kazi gani?
Raia wanaogopa kwamba mimba zinaweza kuja kukataa badae. Yani mwili ukishazoe binafsi nataka nimtie njiti wakwangu, naskia ikogi poa!
 
Kavu tamu lakini jiandae Tu kuwa baba ila kuna wanawake wanajua kuzihesabu yani anakwambia mwaga Tu ndani
8901686535753a3d3643228a7b3682db.jpg
kama huwez vaa Tu condom
 
Yani nyie wanaume hamna Huruma, hutaki kumuoa ila papuchi unataka. Ukija kwenye suala la uzazi wa mpango kijiti hata wanaume wanaweza kuiweka, kaweke wewe mwenye shida
 
Yani nyie wanaume hamna Huruma, hutaki kumuoa ila papuchi unataka. Ukija kwenye suala la uzazi wa mpango kijiti hata wanaume wanaweza kuiweka, kaweke wewe mwenye shida
sex ingekua ni uzima wa milele wanaume wengi wangeupata huo uzima....
 
Yani nyie wanaume hamna Huruma, hutaki kumuoa ila papuchi unataka. Ukija kwenye suala la uzazi wa mpango kijiti hata wanaume wanaweza kuiweka, kaweke wewe mwenye shida
Ukiona hataki kukuoa achana nae nyie munaokaa na jamaa zenu 5 yrs kukuoa hakuoi nikija kuleta barua unakataaa katu katu je tusemeje?
 
Tatizo uzazi wa mpango una madhara

Na inashauriwa zitumike njia za uzazi wa mpango baada ya kuwa tayari una watoto na unahitaji kufanya spacing kwa miaka kadhaa mfano miaka mitano n.k.

Ila sio Kabla kuwa na motto japo mmoja.
 
Yani nyie wanaume hamna Huruma, hutaki kumuoa ila papuchi unataka. Ukija kwenye suala la uzazi wa mpango kijiti hata wanaume wanaweza kuiweka, kaweke wewe mwenye shida
Hata kwa mtutu siwez weka kijiti.
 
Raia wanaogopa kwamba mimba zinaweza kuja kukataa badae. Yani mwili ukishazoe binafsi nataka nimtie njiti wakwangu, naskia ikogi poa!
hichi kijiti kilivyomfanya shosti yangu sina hamu nacho,
alikua ananenepa tumbo tu,
mara akaanza kupata period zisizoeleweka.
Mwisho akaenda kutoa,
sasa hivi ni mzima na kitambi kimepungua.
 
hichi kijiti kilivyomfanya shosti yangu sina hamu nacho,
alikua ananenepa tumbo tu,
mara akaanza kupata period zisizoeleweka.
Mwisho akaenda kutoa,
sasa hivi ni mzima na kitambi kimepungua.
Duh kwa hiyo hicho nacho ni majanga eeh
 
Kila baada ya tendo, binti anywe maji ya baridi lita moja, hivyo kabla ya tendo hakikisha una lita moja ya maji bariidi, baada tu ya kumaliza tendo, binti aanze kunywa maji! Mimba utazisikia radioni, hii ni njia ambayo nilifundishwa na mtaalamu wa tiba asili, jaribu harafu utuletee mrejesho.
Hahahahahha broo hii hatari aiseeeeeee dooh
 
Hahaaaa!!!! Hiyo inaitwa coitus interruption,ina hatari pia,cause ukisha ejaculate lazima kuna sperms zitabaki kwenye penis hata kama ulimwagia nje,so zile sperms zitaingia tu kwenye uzazi wa mwanamke pasipo wew kujua,pale utakapokua unatafuta bao jingine na hii ni rahisi zaid kwa wanawake wenye uke mdogo ambao utasababisha zile sperms ziwe squeezed
Mkuu ulichoelezea ndo kilichomtokea demu wangu. Mpaka sasa haniamini anasema nilimwaga ndani wakati mi ni king wa withdraw. Najaribu kumuelezea haelewi aseee though miaka mingi huwa tunatumia njia hii na anakua safe.
Na offcourse yupo na papuchi ndogo sana hadi raha yaani.
 
Acha uasharati kijana oa. Au mlete nimfunge dawa ya kimasai kiunoni, ana vaa kama shanga wakati wa tendo , mkisha maliza anaweza vua tu.
Ni njia salama Zaidi.
 
Back
Top Bottom