SHAROBALO
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 771
- 349
Habari wakuu!!
Sijakosea kichwa cha TOPIC. ni kweli kabisa.
Si kila computer unayokaa tu anaazatu kuinstall masoftware...tena micomputer mingine hadi uwe Administrator ahaaa
hasa wengine mfano mdada fulani utasikia tumia ila usiniwekee mivirusi.....ahaa
halafu utakuta huwezi weka software na computer ina speed ya kufa mtu, inakuwaje sasa hapa. idm yenyewe hadi nianze kudownload duh!!
ok here is wat u should do..(nitatolea mfano Internet explorer)
HATUA:
1) fungua web yenye mziki au video husika.
2) Play wimbo au video unayo itaka,waweza angalia hadi mwisho..au uka pause na kuiacha iload hadi mwisho.
3) Tayari....umeshadownload hiyo kitu......
4) Jinsi ya kuipata sasa....
5) Bonyeza tools -->> Internet options
6) Sehemu ya browsing history Bonyeza setting -->Bonyeza view files(temporary files)
7)Utaona mafile mengi mengi....ya sort kwa size....yale yenye size kubwa basi ndio nyimbo au video ulizo kuwa unaziangalia
8) Ya copy na uyapaste sehemu nyingine kwanza ndio ujaribu kuyafungua. Rename mafile yako sababu hayatakuwa na majina kama kule kwenye web.
THE SECRET:
Kila unapoperuzi mtandao mafile yote yanahifaziwa kwenye Temporary forder. na unapotazama na kusikiliza video basi moja kwa moja inaenda kule. Pia kama unaona njia ndefu basi SEARCH kwenye computer yako for TEMPORARY FOLDER!!!
>>Usisahau kugonga THANKS kama umeikubali hii<<
CHEERS