Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani wataalamu naombeni msaada wa hali na mali.Nahitaji mtu wa kunifundisha kuchora ramani za umeme wa majumbani.Kanuni zake ni zipi?Msaada jamani.Nipo safi katika vitendo ila nadharia inanisumbua kidogo.
AoutoCAD 2011 ina kila kitu, sasa wewe wiring unafanyaje bila mchoro, mchoro ndio lugha ya kihandisi/kifundi. Symbol za switch, diode, resistance, current, utapata kila kitu.