Jinsi ya kuchangia CHADEMA kwa kutumia 111333

Dullo

JF-Expert Member
Oct 24, 2009
251
64
Jamani kama kuna mtu anaweza kutusaidia jinsi ya kuchangia CHADEMA kwa namba 111333 kwa Vodacom tunaomba atupatie maelezo
 
Hapo ni kwa vodacom m-pesa. Piga *150reli, kuingia kwenye menu ya m-pesa. Then chagua namba 4 (lipia bili yako), then utaulizwa namba ya kampuni, unaweka hiyo 111333, then utaulizwa namba ya kumbukumbu, utaweka namba yako ya simu, then utaulizwa kiasi, utaweka (minimum 1000), then namba ya siri, utaweka, then unachagua 1 kuthibitisha, unakuwa umechangia mabadiliko ya kweli Tanzania...
 
Jamani kama kuna mtu anaweza kutusaidia jinsi ya kuchangia CHADEMA kwa namba 111333 kwa Vodacom tunaomba atupatie maelezo

Nina uhakika waCDM na WaTZ kwa ujumla watatuma Pesa kwa MPESA ila VODA, watupe means ya kuauthenticate kama kweli Pesa zetu zimefika kwa viongozi wa CDM....

Kama hawawezi Basi napendekeza yafuatayo....

1. Kuwa na Means ya kupokea Message za wanachama na kiasi gani za Pesa zilizotumwa....
2. Kuwa na means ya kutuma Pesa pamoja na Namba ya Kadi ili mwisho wa siku uweze kujua ni kiwango gani umekichangia Chama...
 
Ebana umeongea. Ngoja tuifungulie thread kabisa ili CDM waone...
 
Nina uhakika waCDM na WaTZ kwa ujumla watatuma Pesa kwa MPESA ila VODA, watupe means ya kuauthenticate kama kweli Pesa zetu zimefika kwa viongozi wa CDM....

Kama hawawezi Basi napendekeza yafuatayo....

1. Kuwa na Means ya kupokea Message za wanachama na kiasi gani za Pesa zilizotumwa....
2. Kuwa na means ya kutuma Pesa pamoja na Namba ya Kadi ili mwisho wa siku uweze kujua ni kiwango gani umekichangia Chama...

Vodacom wakikufungulia account ya namna hii wanakupa laptonga ambayo inasystem ya m-pesa ya acconti ya 111333 ambayo wao wao chadema ndo wanamamlaka ya ku log in na kuangalia transaction za watu wanaochangia so far binafsi nina imani kubwa na hii ishu ya michango yetu!coz Luku,dstv,simba,yanga etc wamenufaika sema mwenye access na kuingia kwenye hizo transaction ni nani hapo ndo pagumu??????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom