Jinsi ya kubadili VHS kuwa DVD.

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Habari za wakati wana TEKENOLOJIA.Kuna mkanda wa VHS Ambao nataka uje kwenye DVD.Je nitumie njha gani kufanya hiyo kazi?PC tayari ninayo.
Naombeni Msaada Jamani.Ili niweze kufanya jambo langu likamilike.
 
tumia tv tuner kuingiza hiyo movie ktk pc yako than tumia nero 8 ku make dvd movie burn dvd kazi kwisha
 
Unahitaji njia ya ku capture analog video na kuisave katika digital format, hii unaweza kufanyikisha na video capture device kwa mfano
Amazon.com: Diamond VC500 One Touch Video Capture Device: Electronics
AsDIX.jpg

, pia kuna baadhi ya digital video cameras zinakubali analog input so inaweza kufanya kazi ya hii kitu, kisha unahamisha kutoka kwenye kamera hadi PC kwa njia ya kawaida.

Kutoka hapo ni kutumia software yoyte ya kutengeneza DVD.
 
Attachments

  • AsDIX.jpg
    AsDIX.jpg
    32.9 KB · Views: 35
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom