Jinsi ya kuanzisha redio ya fm kijijini!!!! Msaaada jamani!!!!

Insabhunsa Gusa

Senior Member
May 13, 2011
109
88
Wadau,

Nataka kuanzisha kituo cha fm cha kijamii, kwa malengo ya kuelimisha jamii za vijjini kule mkoani Rukwa, ukanda wa ziwa Tanganyika katika masuala ya afya na Elimu kwa shule za msingi na sekondari, bila kusahau kuwaburudisha wana jamii kule.

Naomba msaada wa jinsi ya kuanzisha hiyo fm redio. Utaratibu mzima na masharti yake ni yepi?? Nianzie wapi ndugu zangu?? Nawaombeni msaada wenu kiushauri na ki utaalamu... Unaweza kunishauri kwa email: jones992k@hotmail.com au kwa sms kwenye 0763 947266. Asanteni sana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom