Jinsi ya kuandika barua ya Uchumba

ngoja nikusaidie kuandike hiyo barua ya posa.

ni mimi..................................nimekuja kumposa binti yenu.........................toka nilipomuona kwa mara ya kwanza binti yenu mapigo ya moyo yalienda mbio,nikawa kula sili,kulala silali,nikinywa maji namuona kwenye glass,nilichompendea binti yenu adi nikaona nilete posa,ni ayo mahaga yake hips,ana hips za ukweli bila kusahau inyegwede,tukija kwenye macho yake akiniangalia ni kama ananiita,yani kutoleta posa kwenu ingekuwa ni jambo ambalo ningejutia sana.
pia chuchu zake ni saa 6 kwa kweli nikaona nilete posa leo,infact mkiniruhusu nimuoe binti yenu mtaenjoy sana,mtakula bata,nampango fungate pia niwashirikishe na nyie wazazi twende sote,mtafurahi sana yani msipoteze hii bahati ivo mniruhusu ni muoe bint yenu.
nina sababu kubwa ya kuwaambia mniruhusu nimuoe binti yenu,mimi niko na pesa sana mtaenjoy for da rest of ur life,
ni wako mme mtarajiwa wa binti yenu mashalah.................
weka sahihi.......................
tarehe.........................

huu ni mtazamo wangu wakuu nimemsaidia ili apewe mke na posa ikubaliwe,mia

Hii post Nimecheka hadi machozi, mkuu Asante kwa kunivunja mbavu.!!!!
 
Hongera sana!
Nimeoa Mnyaturu,nilianza kwenda ukweni kabla ya kutoa posa coz nilikuwa namega kisela,siku ya ndoa nilipigwa faini ya pesa.Bint ni alikuwa akiishi Dar so mambo ya kutoa ng'ombe 5 hayakunipata coz gharama ya moo m1 si mchezo.
Unataka kujua mila za kinyaturu unapoenda ukweni?

Tuambie Mila zao.
 
Tuambie Mila zao.

Ukienda ukweni lazima ubebe fimbo/fimbo ya kuchungia mifugo,unapofika huingii ndan unauliza wapi ilipo mifugo ya mkwe,utaenda kuchunga mpaka jua kuzama unairudisha zizini,hapo ndio wanakupokea na hutamuona mama mkwe kwa siku hiyo,ndipo unakaribishwa KiDiMu.
 
Sasa kma hujawahi kuchunga
 
Naona swala la barua limeisha pata ufumbuzi sasa songa mbele na tunakutakia mafanikio mema
 
JF ndio kila kitu, wakuu naomba kutoa mrejesho,

Nilifanikiwa kupeleka posa, ilikubaliwa, japo barua niliandika tofauti na maelezi ya hapa, ila niseme maelezo ya hapa ndio yaliyonipa mwanga wa kuanzia..

Baada ya posa kupokelewa ikiwa na kifungua uchumba cha 100,000 washenga waliambiwa wafuate majibu baada ya wiki moja, mmmh baada ya wiki washenga walifuata majibu barua yangu ya posa na kuniletea...

Nilipoifungaua tu karibia niteme fundo la kinana nililokuwa nimelitia kinywani, eti jumla ya mahari na kilakitu ikaja tsh 3,370,000 Mangi tena nikawaambia washenga kwani huyo binti yao wananiuzia au namna gani hapa, nikawaambia siwezi nikawatajia kiasi cha uwezo wangu, nikawarudisha tena baada ya wiki wakaenda wakazungumza kiutuuzima na kila kitu kikawa sawa..

Mahari nililipa baada ya wiki tatu tu na baada ya mwezi tukafunga ndoa, na sasa Mungu ametubariki tuna mtoto wa kiume mwenye umri wa mwaka 1 nusu, mtoto huyu hakika ni zawadi kubwa kwangu, amefungua ukurasa mwingine wa maisha ndani ya nafsi yangu
 
Mila za ukweni zimenifanya nianze kuchepuka.

Ukiwa na mikwaruzank na mkeo eti hutakiwi kumwambia mama mkwe ili amuonye binti yake.

Ili nisife na presha inabidi nitafute hawara aniliwaze maana wakwe hawataki kusuluhisha.
 
Nimepitia zoezi hili mimi mwenyewe mwaka juzi na mwakajana nimesimamia hili zoezi kwa rafiki zangu wawili. nipm email yako nikutumie sampuli utachagua unayotaka. taarifa za muhimu ni anuani zote mbili kwenu na kwao, lengo la barua, utambulisho wako wewe baba yako na mama yako, unakotoka hapa mjini na kule mgombani kwenu. Then unataka kumposa nani (ful name pamoja na ya wazazi wake na mahali wanakotoka) Then maliza barua yako kisha weka saini.
habari mkuu, na mimi naomba unitumie hii sampo, ntshukuru sana
 
Yani hizi hatua zinanifanya niogope kuoa kabisaa.Ila umri umetimia sina namna,
Na baada ya hizo hatua me nawaomba niishi na Mke wng habari ya matarumbeta tupa kule.
 
ngoja nikusaidie kuandike hiyo barua ya posa.

ni mimi..................................nimekuja kumposa binti yenu.........................toka nilipomuona kwa mara ya kwanza binti yenu mapigo ya moyo yalienda mbio,nikawa kula sili,kulala silali,nikinywa maji namuona kwenye glass,nilichompendea binti yenu adi nikaona nilete posa,ni ayo mahaga yake hips,ana hips za ukweli bila kusahau inyegwede,tukija kwenye macho yake akiniangalia ni kama ananiita,yani kutoleta posa kwenu ingekuwa ni jambo ambalo ningejutia sana.
pia chuchu zake ni saa 6 kwa kweli nikaona nilete posa leo,infact mkiniruhusu nimuoe binti yenu mtaenjoy sana,mtakula bata,nampango fungate pia niwashirikishe na nyie wazazi twende sote,mtafurahi sana yani msipoteze hii bahati ivo mniruhusu ni muoe bint yenu.
nina sababu kubwa ya kuwaambia mniruhusu nimuoe binti yenu,mimi niko na pesa sana mtaenjoy for da rest of ur life,
ni wako mme mtarajiwa wa binti yenu mashalah.................
weka sahihi.......................
tarehe.........................

huu ni mtazamo wangu wakuu nimemsaidia ili apewe mke na posa ikubaliwe,mia
duh! we jamaa una maskhara sana yaan mwenzetu anashda na anataka msaada wetu we unaleta mambo yafutui bt ipo cku yakikukuta utakuja kuutafuta huu uzi
 
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kuandika barua ya kumchumbia binti. Content yake inakuaje? Vitu vya msingi vya kujumuisha ndani ya maelezo, na je ni lazima tuweke hela ndani yake?

Najua hapa nitapata majibu sahihi maana kuna wakubwa wengi waliopitia hii stage.
 
Nakushauri kama ni muislamu mfate imamu wako wa msikiti uliopo karibu atakuelekeza vizuri tu,Kwenye maswala kama haya usitake kufanya jambo peke yako,kuna vitu unaweza kuvifata huku mtandaoni lakini kwa maswala kama hayo wafate viongozi wa dini
 
Mkuu me ni mgalatia
 
Back
Top Bottom